Menu
 

Wananchi waliojitokeza kumsikiliza Mwenyekiti wa Chama cha demokrasia na Maendeleo CHADEMA bwa Freeman Mbowe katika Soko la Sido Mwanjelwa. Na kudai kuwa maafa haya hayakuwa ya Chadema tu, na kwamba vyama vingine navyo viliathiriwa na moto huo.
Bwana Mbowe ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge Jimbo la Hai, akiwasili katika Soko la Sido Mwanjelwa.

Wananchi wakishangilia kwa furaha ujio wa Mheshimiwa Mbowe
Akina Mama nao hawakuwa nyuma nao wakiwa wamewasili Sidi kumsikiliza Mwenyekiti wa CHADEMA bwana Mbowe ambaye alikuja kwa lengo la kuwafariji wakazi na wafanyabiashara walikumbwa na janga la Moto ambalo liliteketeza bidhaa zenye thamani za Mamilioni.

Wananchi wakifurahia Neno la Bwana Mbowe na wengine wakiwa wamepanda juu ya Mti kufuatilia zoezi la ufariji kutoka kwake.
Bwana Mbowe akiwahutubia wananchi wa Jiji la Mbeya kulia ni Mbunge wa Jimbo la Mbeya mjini Joseph Mbilinyi.


Kwa ushirikiano wa Kamanga na MatukioMbeya Yetu na Chimbuko Letu.

Post a Comment

 
Top