Menu
 

 Dr Marry Mwanjelwa akabidhi magodoro yenye thamani za zaidi ya shilingi milioni 6, kwa Hospitali ya Rufaa Meta, Kituo cha Afya Mwanjelwa jijini Mbeya na Hospitali ya wilaya ya Ileje, Mbozi na Mbeya Vijijini.
 Akina Mama wakishangilia ujio wa Mtetezi wao Dk Marry Mwanjelwa ambaye ni Mbunge wa Viti maalum
 Dr Marry akisalimiana na mmoja wa madaktari wa Hospitali ya Rufaa Meta.
 Dr Marry akipata maelezo mafupi ya ujio wake katika Hospitali ya Meta.
 Dr Marry akisalimiana na akina Mama wajawazito katika Kituo cha Afya Mwanjelwa
  Dr Marry Mwanjelwa akipewa utaratibu na maelezo kutoka kwa Muuguzi mata baada ya kutembelea wodi la akina Mama Wajawazito.
 Dr Marry akisalimiana na kuwafariji akina Mama wajawazito
 Dr Marry akitazama Kichanga
Katika utoaji wa misaada hiyo ya Magodoro unaendelea kutolewa ambapo Hospitali ya Meta walikabidhiwa magodoro 60, Mwanjelwa walikabidhiwa magodoro 60, na Hospitali ya Ileje magodoro 60, Hospitali ya Mbozi magodoro 59 na Mbeya vijijini magodoro 60.

Post a Comment

 
Top