Menu
 

Nyanya za umeme zenye thamani zimeachwa mbali na ofisi za Shrika la umeme Tanzania TANESCO wilaya ya Mbozi, Je? kwa mpango mpya wa Serikali kuruhusu Taasisi binafsi kusambaza umeme je zitapona na nani alaumiwe zikiibiwa amatutaishia kuweka Matangazo kupitia vyombo vya habari na kutangaza zawadi nono zitatolewa kwa mwananchi atakayefanikisha kutoa taarifa za siri/kumona/kumkamata mwizi.

Post a Comment

 
Top