Menu
 

 Msanii SAGNA katika pozi la Picha.
Mambo vipi mdau,Tetemesha Recordz inaendelea kukushkuru kwa support yako kubwa unayoendelea kutupatia, sababu inatupa nguvu ya kuendelea kufanya kazi nzuri zaidi.

Huu ni wimbo mpya kabisa wa msanii wetu SAGNA unaitwa YAMENISHINDA. Wimbo huu ni mwendelezo wa story iliyopo katika wimbo wake uliopita wa MGANGA. Mwanzo tulipanga kuu release kwenye radio stations J3 ya wiki ijayo ila kuna mabadiliko kidogo sasa unaweza kuanza kupigwa muda wowote ukiipata e-mail hii.

Video za nyimbo zote mbili MGANGA pamoja na YAMENISHINDA zinakuja very soon.

CREDITS:

Track Name: YAMENISHINDA
Artist : SAGNA written by: SAGNA, JOSEFLY & KID BWOY
arranged by: KID BWOY
Produced by: KID BWOY
Mixed by: KID BWOY
Studio: TETEMESHA RECORDZ 
SEPTEMBER 2011
Contacts: 
Sagna: +255 654 655280
Kid bwoy: +255 713 131073

Post a Comment

 
Top