Menu
 

 Kupata Maelezo ya Wananchi walioshuhudia tukio hilo Bofya hapa/Click Here http://www.youtube.com/watch?v=DlIv1EDu-pA
*Gari la nusurika kuchomwa moto baada ya kusababisha ajali.
*Habari nyingine, 
Mtu mmoja aliyekuwa msukuma mkokoteni eneo la Uyole jiojini Mbeya amefariki dunia baada ya kugongwa na basi la Hood lenye namba za usajili T.155 AXM lililokuwa likitokea jijini Dar es salaam kwenda Kyela likiwa linaendeshwa na Bwana FIDELIS MBUYA, na mwingine amenusurika kifo kwa kupigwa na wananchi wenye hasira kali wakati akijaribu kuiba taa za gari lililogongwa ambalo lilikuwa limepaki eneo la Mama John jiji Mbeya jirani na kituo cha Mafuta cha ORXY.

*Kaimu Kamanda wa Polisi wa mkoani Mbeya ANACLETUS MALINDISA amesema majeruhi watatu wakimbizwa katika Hospitali ya Rufaa Mkoani Mbeya kupatiwa matibabu.

Post a Comment

 
Top