Menu
 

Moja ya pembejeo za kilimo(Powetiller) katika kutekeleza sera ya Kilimo kwanza 
 Viazi mviringo amahakika ni lishe kamili.
 Viazi vitamu vilivyohudumiwa kwa mfumo wa uzalishaji wa kitaalamu.
+++++ 
Na mwandishi wetu.
Wakulima wa viazi kijiji cha Lusanje kata ya Mpombo Mwakaleli wilayani Rungwe mkoani Mbeya wamesema kupanda bei kwa pembejeo za kilimo na ubovu wa miundombinu imekuwa ikichangia wao kutonufaika na kilimo hicho.

Mmoja wa wakulima wa viazi hivyo Gilibert Mwasanteba amesema bei ya Mbolea ya kukuzia na kupandia na dawa za kuua wadudu zimepanda hali inayowafanya kutumia gharama kubwa kwa kilimo kuliko kipato kinachopatikana

Wakati huohuo ametoa ombi kwa Serikali kuongeza vocha za ruzuku kutokana na mfumo unaotumiwa sasa wa vocha moja ama mbili kutolewa kwa mkulima mmoja kutoendana na ukubwa wa shamba linalolimwa.

Post a Comment

 
Top