Menu
 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Makamo Mwenyekiti wa CCM Bara Pius Msekwa akiongoza ujumbe wa CCM uliofika Ikulu Mjini Zanzibar leo,kumpa pole kutokana na Msiba kwa wananchi,waliofariki kwa ajali ya Meli ya Mv Spice Islander,iliyozama Ijumaa wiki iliyopita huko Bahari ya Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja,ikielekea Pemba. PIcha na Ramadhan Othman Ikulu.

Post a Comment

 
Top