Menu
 

Pia na hii ni mashione ambayo imeokolewa na Jeshi la polisi
Hizi ni baadhi ya mashine ambazo polisi walifanikiwa kuziokoa, baada ya kufika na kuwatawanya vibaka hao kwa mabomu ya machozi
Polisi walifika eneo hilo na kuwatawanya kwa mabomu ya machozi
Mashine ikiwa imeondolewa swichi kubwa/Main switch na vibaka bila kujua thamani ya mashine hiyo.
Gari ambayo ilipinduliwa na kujaribu kung'olewa Injini ambapo vibaka hao hawakufanikiwa.
Dada huyu mwenye asili ya China akishangaa baada ya kuvunjwa kwa chumba chake cha biashara licha ya kuwa Moto haukuweza kufika eneo lake.
Vibaka wakiwa wanazozana kutokana na kuzidiana kuchukua vitu wakati wakigawana
Bila aibu yoyote na hawa wakifika katika soko hilo lililoungua wakiwa na vitendea kazi au dhana za kukatia vyuma, kama msemeno
Mzee huyu kwa uchungu baada ya kuunguliwa kwa banda lake akiwazuia watu wasiingie katika eneo lake, kutokana na kuwa na baadhi ya masalia ya bidhaa zake.
Baadi ya Vijana ambao walikodi gari na kupakia Mageti/milango ambayo inadaiwa kuwa si yao.
Mashine hii nayo iling'olewa
Kushoto Mama huyu akilia kwa huzuni baada ya kukuta kila kitu kimeteketea, na moto kwani alikuwa safarini..
Watoto bila kujali moto walikuwa wakijitafutia chochote.

Kwa ushirikiano wa Kamanga na MatukioMbeya Yetu na Chimbuko Letu.

Post a Comment

 
Top