Menu
 

 Chrispin Masele akiwa na msanii mwenzie Efrancya Mangii maarufu kama Inye gwedegwede
 Kundi la Vituko Show linalofanya kazi chini ya Alriyami Production jijini Mbeya
Wasanii wa kundi la Vituko Show ambao wako chini ya lebo ya Alriyami Production wakizungumza na mwandishi wa blog ya Mkwinda juu ya ziara yao jijini Mbeya. Wasanii hao akiwemo Chripin Masele, King Majuto, Onyango, Sharobaro, Efransya maarufu kwa jina la Inye gwedegwede, Man Bizo, Asha Boko,Mwita Maranya, wanatarajia kutoa kazi 40 ambapo hadi sasa wamekwisha andaa kazi 5 zikiwemo zile zinazoendelea kurushwa katika runinga ya Chanel Ten maarufu kama Vituko Show.

Post a Comment

 
Top