Menu
 Meneja Masoko na Usambazaji wa kampuni ya New Habari (2006) Limited, Grace Kassella (kushoto), akimkabidhi Amina Nyamraja, mkazi wa Buruguni kwa Mnyamani, Dar es Salaam zawadi ya jezi halisi ya timu ya soka ya Tanzania, Taifa Stars, mpira, fulana na kofia, alizoshinda baada ya ushiriki katika Promosheni hiyo ya Mchongo.
Meneja Masoko na Usambazaji wa kampuni ya New Habari (2006) Limited, Grace Kassella (kushoto), akimkabidhi Thimoth Mwita mkazi wa Majengo, Musoma zawadi ya deki ya DVD , fulana na kofia alizoshinda baada ya ushiriki katika Promosheni ya Mchongo inayoendeshwa na kampuni hiyo. Hafla ya makabidhiano ya zawadi hizo, ilifanyika jana katika ofisi za New Habari zilizopo Sinza Kijiweni, Dar es Salaam.

Post a Comment

 
Top