Menu
 
WANAFUNZI WAWILI WA KIDATO CHA KWANZA WAACHA MASOMO NA KUAMUA KUOANA.
WANAFUNZI WAWILI WA KIDATO CHA KWANZA WAACHA MASOMO NA KUAMUA KUOANA.

Mkuu wa mkoa wa Mbeya mh. Abbas Kandoro ***** Na mwandishi wetu. Wanafunzi wawili wa kidato cha kwanza katika Shule ya Sekondari Sange iliy...

Read more »

MELI YA MV SONGEA YASIMAMISHA SAFARI ZAKE BAADA KUHARIBIKA ILI IFANYIWE MATENGENEZO.
MELI YA MV SONGEA YASIMAMISHA SAFARI ZAKE BAADA KUHARIBIKA ILI IFANYIWE MATENGENEZO.

Na mwandishi wetu. Meli ya MV Songea inayosafirisha abiria na mizigo katika maeneo mbalimbali ndani ya ziwa Nyasa, imesimamisha safari zak...

Read more »

WATOTO ZAIDI YA MILIONI MOJA WENYE CHINI YA UMRI WA MIAKA MITANO MKOANI MBEYA  KUPEWA CHANJO
WATOTO ZAIDI YA MILIONI MOJA WENYE CHINI YA UMRI WA MIAKA MITANO MKOANI MBEYA KUPEWA CHANJO

Na mwandishi wetu Watoto zaidi ya 1,886,226 mkoani Mbeya wenye umri chini ya miaka mitano wanatarajia kupewa chanzo ya surua, homa ya kupooz...

Read more »

TAHARUKI JENGO TRA MBEYA LANUSURIKA KUTEKETEA KWA MOTO
TAHARUKI JENGO TRA MBEYA LANUSURIKA KUTEKETEA KWA MOTO

TRA WAFANYAKAZI wapatao 70 na wateja wa Mamlaka ya Mapato TRA mkoani Mbeya JANA mchana wamekumbwa na taharuki baada ya jengo la mamlaka hiyo...

Read more »

Mahojiano ya Waziri Mkuu Kurushwa Jumapili
Mahojiano ya Waziri Mkuu Kurushwa Jumapili

Urban Pulse Creative wakishirikiana na Star tv wanakuletea Trailer ya Mahojiano Maalum ya Mh waziri mkuu Mizengo Pinda  na yatarushwa Hewa...

Read more »

Freddy Macha aongea na Urban Pulse
Freddy Macha aongea na Urban Pulse

Salam,   Urban Pulse Creative wakiwa na Mwandishi Nguli wa habari Freddy Macha wanakuletea video fupi ambayo wanazungumzia uzoefu wao, chan...

Read more »

TEOFILO KISANJI UNIVERSITY CHATOA ONYO KWA WANAHARAKATI UCHWARA
TEOFILO KISANJI UNIVERSITY CHATOA ONYO KWA WANAHARAKATI UCHWARA

 MAKAMU MKUU WA CHUO KIKUU CHA TEKU PROF. TULI KASIMOTO AKISOMA RISALA   PROF. METHEW LUHANGA AKISOMA HOTUBA YAKE CHUONI HAPO LEO. ...

Read more »

GHARAMA ZA MAJI WILAYANI RUNGWE MKOANI MBEYA KUPUNGUZWA
GHARAMA ZA MAJI WILAYANI RUNGWE MKOANI MBEYA KUPUNGUZWA

Mkuu wa wilaya ya Rungwe Mh. Jackson Msome. ***** Na Gordon Kalulunga. Serikali wilayani Rungwe Mkoani Mbeya  imesema  tatizo la ku...

Read more »

ZAIDI YA WAJASIRIAMALI 40 KUSHIRIKI MAONESHO YA UJASIRIAMALI - MBEYA
ZAIDI YA WAJASIRIAMALI 40 KUSHIRIKI MAONESHO YA UJASIRIAMALI - MBEYA

Na mwandishi wetu Zaidi ya wajasiliamali 40 kutoka Mbeya, Dar es salaam na Kenya watashiriki maonesho ya ujasiriamali yatakayofanyika kwa si...

Read more »

SAKATA LA HUNDI ZA MIRATHI KUTOWAFIKIA WAHUSIKA.
SAKATA LA HUNDI ZA MIRATHI KUTOWAFIKIA WAHUSIKA.

Na mwandishi wetu Imedaiwa kuwa hundi nyingi za mirathi zimekuwa haziwafikii warithi na kubaki mahakamani kutokana na mawasiliano duni kati ...

Read more »

RADI YASABABISHA KIFO NA KUJERUHI - MBEYA.
RADI YASABABISHA KIFO NA KUJERUHI - MBEYA.

Na mwandishi wetu Bi Magdalena Mlaga mwenye umri wa miaka 28 amefariki dunia na mmoja kujeruhiwa baada ya kupingwa na radi akiwa ndani ya ny...

Read more »

ENZI ZILE:- WAZIRI MKUU EDWARD LOWASSA AKISALIMIANA NA MWANAHABARI KIYUNGI WA KIYUNGI KWENYE VIWANJA VYA BUNGE MJINI DODOMA
ENZI ZILE:- WAZIRI MKUU EDWARD LOWASSA AKISALIMIANA NA MWANAHABARI KIYUNGI WA KIYUNGI KWENYE VIWANJA VYA BUNGE MJINI DODOMA

WAZIRI  MKUU EDWARD LOWASSA AKISALIMIANA KWA FURAHA NA MWANAHABARI MKONGWE KIYUNGI WA KIYUNGI (KUSHOTO) NJE YA VIWANJA VYA BUNGE MJINI DOD...

Read more »

ENZI ZILE:- WAPIGA PICHA WAKUU WAKIMUAGA BABA WA TAIFA IKULU
ENZI ZILE:- WAPIGA PICHA WAKUU WAKIMUAGA BABA WA TAIFA IKULU

BAADHI YA WAPIGA PICHA TOKA VYOMBO MBALIMBALI VYA HABARI NCHINI WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA BABA WA TAIFA MWL. NYERERE WAKATI WA KUMU...

Read more »

ENZI ZILE:- BABA WA TAIFA MWL.NYERERE NA KIYUNGI -BUTIMA
ENZI ZILE:- BABA WA TAIFA MWL.NYERERE NA KIYUNGI -BUTIMA

BABA WA TAIFA MWL. NYERERE AKIWA NA KIYUNGI WA KIYUNGI SHAMBANI KWA BABA WA TAIFA  KIJIJINI BUTIAMA. KIYUNGI ALIKUWA MMOJA KATI YA WANA HA...

Read more »

ENZI ZILE:- KWAHERI BABA WA TAIFA MWL. NYERERE IKULU
ENZI ZILE:- KWAHERI BABA WA TAIFA MWL. NYERERE IKULU

BAADHI YA VIONGOZI WA VYOMBO VYA HABARI NCHINI WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA MWL. NYERERE SIKU  YA KUMUAGA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM B...

Read more »

MKUU WA MKOA WA MBEYA MH KANDORO AWATAKA WANANCHI KUTOKUWA NA JAZBA, CHUKI KATIKA UCHANGIAJI WA MAONI YA KATIBA MPYA WAKATI UTAKAPOFIKA.
MKUU WA MKOA WA MBEYA MH KANDORO AWATAKA WANANCHI KUTOKUWA NA JAZBA, CHUKI KATIKA UCHANGIAJI WA MAONI YA KATIBA MPYA WAKATI UTAKAPOFIKA.

Mkuu wa mkoa wa Mbeya mheshimiwa Abbas Kandoro ***** Na mwandishi wetu Mkuu  wa Mkoa wa Mbeya Bw Abbas Kandoro amesema kuwa wakati ut...

Read more »

WAZIRI NAGU AMEZITAKA TAASISI NA VYOMBO VYA DLA KUWEKA MAZINGIRA WEZESHI - MBEYA
WAZIRI NAGU AMEZITAKA TAASISI NA VYOMBO VYA DLA KUWEKA MAZINGIRA WEZESHI - MBEYA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji), Dk. Mary Nagu (katikati). ***** Na mwandishi wetu. Waziri wa nchi ,Ofis...

Read more »

WAKRISTO WATAKIWA KUJIENDELEZA KIELIMU KWA LENGO LA KUUKABILI UTANDAWAZI
WAKRISTO WATAKIWA KUJIENDELEZA KIELIMU KWA LENGO LA KUUKABILI UTANDAWAZI

Na Ezekiel Kamanga, Mbeya Mtume Ayubu Msigwa wa Huduma ya World Alive Ministry (WAM) ya Jijini Mbeya amewataka Wakristo nchini kujiendel...

Read more »

BARUA YA MDAU:- WAFANYABIASHARA HAWA WAPEWE ELIMU KWA KUFANYIA BIASHARA BARABARA.
BARUA YA MDAU:- WAFANYABIASHARA HAWA WAPEWE ELIMU KWA KUFANYIA BIASHARA BARABARA.

Mambo vipi mkuu?, Barua kwako kuhusiana angalizo la Soko la Ilemi darajani. Nachotaka kuzungumzia, Jinsi gani pesa inavyotafutwa ...

Read more »

Mkuu wa Mkoa Wa Pwani Ashirki Mazishi ya Watu Waliofariki Katika Ajali Mbaya ya Basi la Deluxe Mkoani Pwani
Mkuu wa Mkoa Wa Pwani Ashirki Mazishi ya Watu Waliofariki Katika Ajali Mbaya ya Basi la Deluxe Mkoani Pwani

hhhh Mkuu wa Mkoa wa Pwani,Bi Mwantumu Mahiza akiwa na Huzuni Wakati wa Mazishi ya Watu waliofariki katika ajali ya basi la Deluxe juzi,Pich...

Read more »

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Tanzania awatembelea wabunge waliolazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili leo jioni
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Tanzania awatembelea wabunge waliolazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili leo jioni

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Anne Makinda akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kutoka kumjulia hali ...

Read more »

Maonyesho Ya Wizara Ya Fedha Mnazi Mmoja
Maonyesho Ya Wizara Ya Fedha Mnazi Mmoja

Baadhi ya wananchi wa Jiji la Dar es alaam waliohudhuria maadhimisho ya Wizara ya Fedha ya kuadhimisha miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara ...

Read more »

MKUU WA MKOA WA MBEYA MH ABAS KANDORO ATAKA WAFUGAJI WA ELIMISHWE KUHUSU MADHARA YA KUKATIZA NA MIFUGO KATIKA UWANJA WA NDEGE MBEYA.
MKUU WA MKOA WA MBEYA MH ABAS KANDORO ATAKA WAFUGAJI WA ELIMISHWE KUHUSU MADHARA YA KUKATIZA NA MIFUGO KATIKA UWANJA WA NDEGE MBEYA.

Mkuu wa mkoa wa Mbeya ABASI KANDORO amewataka viongozi wa kijiji cha Ikumbi kata ya Bonde la Songwe kuanza kutoa elimu kwa wafugaji wa ...

Read more »
 
Top