Menu
 

BAADHI YA WAPIGA PICHA TOKA VYOMBO MBALIMBALI VYA HABARI NCHINI WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA BABA WA TAIFA MWL. NYERERE WAKATI WA KUMUAGA BAADA YA KUSTAAFU URAIS IKULU JIJINI DAR ES SALAAM 1985.WALIOSIMAMA TOKA KUSHOTO MAX MADEBE(MFANYAKAZI),SAM MMBANDO(SHIHATA),VINCENT URIO, (DAILY NEWS),JOHN MAKWAIA (MAELEZO), MZEE SILEN(AVI), JUMA DIHULE(SHIHATA), ADINAN MIHANJI (SHIHATA)NA  KIYUNGI WA KIYUNGI (MAELEZO). WALIOCHUCHUMAA WAPILI TOKA KUSHOTO,CHARLES KAGONJI (MAELEZO),GERVCE MSILLO (DAILY NEWS), MWANAKOMBO JUMAA (MAELEZO), KHATIBU ALLY (UHURU) NA RAPHAEL HOKORORO (MAELEZO).

Post a Comment

 
Top