Menu
 

Gari ya kubebea bidhaa za vinywaji vya Kampuni ya Cocacola lenye nambari za usajili T 145 ALL lililokuwa likiendeshwa na dereva Delius Mwambene mwenye umri wa miaka 36, Mkazi wa Iyunga jijini Mbeya lilikamatwa eneo la Mwanjelwa jijini hapa likiwa bovu na dereva huyo anashikiliwa na Jeshi la Polisi baada ya kujaribu kutoa rushwa ya shilingi 10,000/= mara baada ya kutakiwa na Askari wa Usalama barabarani Sajenti Jeremiah  kulipeleka gari hilo Kituo cha Usalama barabarani na Askari huyo kugoma kupokea rushwa hiyo.

Endapo Askari wote wa Usalama barabarani wakiwa na msimamo huu ama hakika ajali zisiazokuwa za lazima zitaisha nchini

Post a Comment

 
Top