Menu
 

Msimamizi wa uchaguzi Protace Magayane akimpongeza Dk. Kafumu baada ya kumtangaza na kumkabidhi cheti cha ushindi wa ubunge

Dk. Kafumu akisaini matokeo.Kushoto ni Msimamizi wa Uchaguzi Igunga, Protace Magayane
Katibu Mkuu wa CCM Mukama akimshika Dk. Dalaly wakati matokeo takitangazwa
Protace Magayane akitangaza matokeo
Dk. kafumu akipongezwa na mkewe wake, Maria Magdalena Kafumu
Hali ya upigaji kura
Fomu ya washindi

Picha zote na Bashir Nkoromo

Post a Comment

 
Top