Menu
 

Urban Pulse Creative wakishirikiana na Star tv wanakuletea Trailer ya Mahojiano Maalum ya Mh waziri mkuu Mizengo Pinda  na yatarushwa Hewani kupitia  kituo cha Star TV Jumapili hii Tarehe 30 octoba 2011 kuanzia saa 10.30 katika kipindi cha Medani za siasa.
 
Tafadhali usikose kuangalia kipindi hiki ili upate kujifunza mambo mbalimbali kuhusu Tanzania na Serikali yetu.
 
Asanteni,
 
Urban Pulse Creative

Post a Comment

 
Top