Menu
 

Vijana wa zamani ambao kwa sasa ni wazee toka kushoto ni Mzee Bakari Kawego,Mzee Mashaka Mapalala Mankupu na Mzee Kiyungi wakiwa katika picha ya pamoja mjini Tabora mwaka 2008.Wazee hawa walizaliwa mwaka mmoja kwenye miaka ya 1950's lakini walikutana na kukumbushana mengi hususan walivyokuwa wakuchezea magari ya mabua, kuogelea mabwawani, kuwinda ndege kwa manati na kuchuma na kupopoa matunda ya porini. Wallah ilikuwa siku ya furaha sana baada ya kupotezana toka mwaka 1968 katika kijiji chao walikozaliwa cha Isenga Mkoani Tabora.

Post a Comment

 
Top