Menu
 

Mbunge wa Jimbo la Mvomero, Amos Makalla akitoa vitabu vya masomo ya sayansi na hisabati katika shule ya Sekondari ya Lusanga,Wilayani Mvomero,Mkoani Morogoro.
Mbunge wa Jimbo la Mvomero, Amos Makalla akiteta jambo na mkazi wa wami dakawa ambaye ni mlemavu wa viungo ambaye anahitaji kusidiwa fedha za kununua mipira ya baiskeli yake.
Mbunge wa Jimbo la Mvomero,Amos Makalla ( mwenye suti) akiwa ndani ya chumba cha mashine ya mtambo wa simu wa vodacom, kijiji cha Hoza, Kibati, Wilaya ya Mvomero.
Diwani wa Kata ya Mtibwa, Wilaya ya Mvomero, Mkoa wa Morogoro kupitia CHADEMA , Tusekile Mwakyoma, akiwahutubia wananchi wa mtibwa kabla ya kumkaribisha Mbunge wa Jimbo hilo, Amos Makalla ( hayupo pichani).
Mafundi wakiwa kazini kukamilisha ujenzi wa nyumba ya mwalimu wa sekondari ya Ungulu, Kata ya Kibati, Wilaya ya Mvomero.

Post a Comment

 
Top