Menu
 

hhhh Mkuu wa Mkoa wa Pwani,Bi Mwantumu Mahiza akiwa na Huzuni Wakati wa Mazishi ya Watu waliofariki katika ajali ya basi la Deluxe juzi,Pichani Bi Mwantumu akiwa eneo la Makaburi la Air Msae Mjini Kibaha leo Kulia ni Mbunge wa Viti Maalum Zainabu Vulu na Katikati ni Naibu Waziri wa Fedha Gregory Teu
Majeneza 12 yenye Majivu ya Miili ya Watu walipoteza Maisha yao kwenye Ajali mbaya ya basi la Kampuni ya Deluxe ikiwa kwenye ibada ya kuaga miili hiyo kabla ya Kuzikwa Rasmi kwenye Makaburi ya Air Msae Kibaha Mkoani Pwani.Picha na Mdau Richard MwaikendaPost a Comment

 
Top