Menu
 

Sababu za kukwama kwa ujenzi wa barabara ya Kutoka Mbeya kuelekea wilayani Chunya ni nini? Baadhi ya vitendea kazi(mashine) zapelekwa nchini Malawi kwa ujenzi mwingine wa barabara nchini humo
 Mama akiponda kokoto hizi kwa lengo la kupata Dhahabu
Baadhi ya kokoto huuzwa kwa ajili ya Ujenzi wilayani Chunya ambazo zimetengwa kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya kutoka Wilaya ya Mbeya mjini mpaka Wilayani humo.

Post a Comment

 
Top