Menu
 

DKT. DANIELE PASSALAQUA kutoka mradi wa TTELMS wa Italia akizungumza wakati wa Tamasha la Kuhamasisha wasichana kujiunga na Mafunzo ya Ufundi na Sayansi.
Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha Dkt Richard Masika akizungumza wakati wa Tamasha la Kuhamasisha wasichana kujiunga na Mafunzo ya Ufundi na Sayansi.
Mgeni Rasmi, Eng. Bi. Margret Muyangi akizungumza na baadhi ya wasicha kutoka Shule mbalimbali za Sekondari wakati wa Tamasha la Kuhamasisha wasichana kujiunga na Mafunzo ya Ufundi na Sayansi.
Baadhi ya Wasicha waliofanya vizuri katika Masomo ya Ufundi na Sayansi katika Chuo cha Ufundi Arusha (ATC) walizawadia kompyuta.

Post a Comment

 
Top