Menu
 

Mkono mtupu haulambwi........ Kijana huyu alishuhudiwa na mtandao huu akifanya mambo yake, akiwa anaendesha baiskeli ya gurudumu moja katika eneo la Stendi ya Kabwe Mwanjelwa jijini Mbeya, tukio ambalo lilivuta watu wengi kushuhudia na kuweza kumtuza pesa kibao
Kuishi mjini ni mipango, si sawa na kukaa bure leo....... silali njaa kabisa na hii nayo ni kazi ...... kamua baba ...... kamua baba...... kamua, kamua usitumie hilizi...... kamua.....Kijana katika pozi jingine kwa mbwembwe zote.

Post a Comment

 
Top