Menu
 

Dereva wa gari aina ya Toyota Mark II Saloon lenye nambari T 777 ACD ambaye ni Daktari wa Kituo cha Afya Tunduma wilaya mpya ya Momba, Dk Albert Kyungu akipatiwa matibabu katika Hospitali teule ya Ifisi wilaya ya Mbeya vijijini baada ya gari lake kugonga kwa nyuma Tela lenye nambari T 506 ALJ ka kichwa chake aina ya Scania lenye nambari T 938 AKV ambalo halikuonesha ishara yoyote ya kuharibika kwa gari. Tukio hili lilitokea eneo la Nanyala wilaya ya Mbozi, ambapo ndani ya gari la Daktari Kyungu lilikuwa na jumla ya abiria wanne ambapo wawili walinusurika kutokana na kushindwa kupata majeraha, na mmoja hakufahamika alipo mpaka sasa baada ya kukimbia kutokana na kudaiwa alirukwa na akili.

Post a Comment

 
Top