Menu
 
MFANYABIASHARA MKOANI MBEYA AKUTWA AMEFARIKI NDANI YA SHIMO LA CHOO MKOANI MBEYA
MFANYABIASHARA MKOANI MBEYA AKUTWA AMEFARIKI NDANI YA SHIMO LA CHOO MKOANI MBEYA

Na mwandishi wetu Bariki Sanga mwenye umri wa miaka 29 mkazi wa Uyole jijini Mbeya ambaye alikuwa akifanya biashara ya ulanguzi wa mpunga ka...

Read more »

HALI YA TUNDUMA BAADA YA AJALI YA MOTO NI MAJONZI, RC AWAPA POLE
HALI YA TUNDUMA BAADA YA AJALI YA MOTO NI MAJONZI, RC AWAPA POLE

Mkuu wa mkoa wa Mbeya akizungumza na wafanyabiashara wa Tunduma baada ya tukio la ajali ya Moto  jana jioni ambapo amewapa pole kutokan...

Read more »

MTU MMOJA AFARIKI DUNIA BAADA YA KUNASWA NA UMEME MBEYA
MTU MMOJA AFARIKI DUNIA BAADA YA KUNASWA NA UMEME MBEYA

Na mwandishi wetu Mtoto Atanasi Aloni mwenye umri wa miaka 13 na mwanafunzi wa shule wa darasa la nne shule ya msingi Msongwi amefariki duni...

Read more »

MOTO MKUBWA WATEKETEZA SOKO LA KISIMANI - TUNDUMA - MBEYA
MOTO MKUBWA WATEKETEZA SOKO LA KISIMANI - TUNDUMA - MBEYA

Mkuu wa wilaya ya Mbozi Bwana Gilbert Kimolo akipewa maelekezo na mikakati ya kudhibiti moto uliokuwa ukiendelea katika soko la Kisimani m...

Read more »

SOKO LA KISIMANI MJI MDOGO WA TUNDUMA LILIVYOTEKETEA KWA MOTO.
SOKO LA KISIMANI MJI MDOGO WA TUNDUMA LILIVYOTEKETEA KWA MOTO.

Soko la Kisimani lililopo mji mdogo wa Tunduma, wilaya ya mpya ya Momba mkoani Mbeya limeteketea kwa moto hapo jana kuanzia majira ya Saa 10...

Read more »

SERIKALI MBARALI YAMTEGA KANDORO NA USALAMA WA TAIFA.
SERIKALI MBARALI YAMTEGA KANDORO NA USALAMA WA TAIFA.

MKUU WA MKOA WA MBEYA ABBAS KANDORO ***** Na mwandishi wetu. Ofisi ya Mkurugenzi mtendaji wa wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya imempa kazi...

Read more »

UKATILI DHIDI YA VIKONGWE KWA IMANI ZA KISHRIKINA ULIOKUWA UMESHAMIRI MIKOA YA KASKAZINI SASA VYASHAMIRI MKOANI MBEYA
UKATILI DHIDI YA VIKONGWE KWA IMANI ZA KISHRIKINA ULIOKUWA UMESHAMIRI MIKOA YA KASKAZINI SASA VYASHAMIRI MKOANI MBEYA

Mzee Asumwisye Mwakambinda mwenye umri wa miaka 60(Pichani), akiwa hoi jana siku ya jumapili baada ya kupingwa na wananchi wenye hasira ka...

Read more »

BAADA YA NYUMBA YAKE KUTEKETEZWA KWA MOTO KUTOKANA NA KUJIHUSISHA NA IMANI ZA KISHIRIKINA, MWENYEKITI WA MTAA AHAMIA MTAA WA PILI KWA DADA YAKE NAKO AFUATWA, SAMANI ZAKE KUTEKETEZWA MOTO NA WANANCHI - MBEYA

  Vyombo na samani za aliyekuwa Mwenyekiti wa mtaa wa Igoma A, kata ya Isanga jijini Mbeya Bwana Juma Kahawa vilitolewa nje hapo jana kabl...

Read more »

WATUHUMIWA WATATU WA KUMILIKI NOTI BANDIA ZENYE THAMANI YA SHILINGI MIL 559,000/= WAPANDISHWA KIZIMBANI KWA MARA YA PILI KATIKA MAHAKAMA YA MKOA WA MBEYA
WATUHUMIWA WATATU WA KUMILIKI NOTI BANDIA ZENYE THAMANI YA SHILINGI MIL 559,000/= WAPANDISHWA KIZIMBANI KWA MARA YA PILI KATIKA MAHAKAMA YA MKOA WA MBEYA

Na mwandishi wetu Watu wa tatu wakazi wa Uyole jijini Mbeya wamepandishwa kizimbani kwa mara ya pili jana katika mahakama ya mkoa wa Mbeya...

Read more »

MKURUGENZI NA MEYA JIJI LA MBEYA KUCHUKULIWA HATUA KISA, KUWA VINARA WA VURUGU ZA MWANJELWA NA KUMSINGIZIA KANDORO.
MKURUGENZI NA MEYA JIJI LA MBEYA KUCHUKULIWA HATUA KISA, KUWA VINARA WA VURUGU ZA MWANJELWA NA KUMSINGIZIA KANDORO.

MKUU WA MKOA WA MBEYA ABBAS KANDORO * N i kutokana na kupimana nguvu za maamuzi Na, Gordon Kalulunga, Mbeya Maaskofu,Wachungaji na wan...

Read more »

WAFANYAKAZI WA KAMPUNI YA DHANDHO WACHAPANA KAVUKAVU BAADA YA KUDHURUMIANA UJIRA WA SHILINGI ELFU MOJA.
WAFANYAKAZI WA KAMPUNI YA DHANDHO WACHAPANA KAVUKAVU BAADA YA KUDHURUMIANA UJIRA WA SHILINGI ELFU MOJA.

 Wafanyakazi wa DHANDHO eneo la Kadege jijini Mbeya wakipigana makonde ndani ya kampuni hiyo baada ya kudhurumiana malipo ya ujira shiling...

Read more »

WAJASIRIAMALI KUNUFAIKA NA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KUANZIA NOVEMBA 28, MWAKA HUU MKOANI MBEYA.
WAJASIRIAMALI KUNUFAIKA NA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KUANZIA NOVEMBA 28, MWAKA HUU MKOANI MBEYA.

  Wajasiriamali mkoani Mbeya kunufaika na mafunzo ya siku tatu ya ujasiriamali yatakayotolewa na kampuni ya Dimod Integrated Solution and ...

Read more »

ABIRIA 25 WANUSURIKA KATIKA AJALI MKOANI MBEYA
ABIRIA 25 WANUSURIKA KATIKA AJALI MKOANI MBEYA

 Baadhi ya majeruhi akiwemo Bi Philomena Fredy (aliyeketi chini) mara baada ya kutoka ndani ya gari ya abiria aina ya Costa yenye nambari ...

Read more »

GARI LILILOIBIWA NYUMBANI KWA MKURUGENZI WA KAMPUNI YA BABLO YAKAMATWA JIJINI MBEYA NA JESHI LA POLISI.
GARI LILILOIBIWA NYUMBANI KWA MKURUGENZI WA KAMPUNI YA BABLO YAKAMATWA JIJINI MBEYA NA JESHI LA POLISI.

Jeshi la polisi mkoani Mbeya limefanikiwa kukamata gari iliyoibiwa kitongoji cha Ichenjezya wilayani Mbozi yenye nambari za usajili T 669 ...

Read more »

ASKARI MGAMBO NANE WA JIJI WAFUKUZWA KAZI KWA KUHUSIKA NA UNYANG'ANYAJI WA BIDHAA KWA WAFANYABIASHARA NDOGONDOGO‏
ASKARI MGAMBO NANE WA JIJI WAFUKUZWA KAZI KWA KUHUSIKA NA UNYANG'ANYAJI WA BIDHAA KWA WAFANYABIASHARA NDOGONDOGO‏

Mkurugenzi wa jiji la Mbeya Juma Idi Mgambo wa jiji la Mbeya wakiwa kazini Mgambo wa jiji wakifungua namba za gari iliyopaki maegesho yasiyo...

Read more »

KIKAO CHA NEC DODOMA
KIKAO CHA NEC DODOMA

Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete akiwa tayari kuongoza kikao cha NEC leo katika ukumbi wa NEC Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma leo. Weng...

Read more »
 
Top