Menu
 

 Haya ni baadhi ya majina ya waliojeruhiwa kwa kupingwa risasi katika vurugu zilizodumu kwa muda wa siku mbili Mkoani Mbeya na kulazwa katika wadi namba 1 hapa Hospitali ya Rufaa iliyopo jijini Mbeya.
 Baada ya mkutano kumalizika uliofanyika katika kituo cha mabasi madogo ya abiria(daladala) eneo la Kabwe Mwanjelwa jijini Mbeya  Mbunge wa Jimbo la Mbeya mjini mheshimiwa Joseph Mbilinyi alielekea moja kwa moja Hospitali ya Rufaa kuwaona majeruhi waliopigwa risasi.
Mbunge wa Jinbo la Mbeya mjini Joseph Mbilinyi akiingia hodini kuwaona majeruhi na kuwapa pole. (Kwa hisani ya Sugu for Mbeya)

Post a Comment

 
Top