Menu
 

Bwana Gabriel Mwasomola mmoja kati ya majeruhi waliopigwa risasi eneo la stendi ya Kabwe, jijini Mbeya kutokana na vurugu zinazoendelea ambazo zimetokana na wafanyabiashara wadodowadogo machinga wa eneo la Mwanjelwa kuondolewa na halmashauri ya jiji kufanya biashara katika maeneo yasiyoruhusiwa.
 Baadhi ya Wafanyabiashara ambao walisikika wakinena mtu mmoja hawezi kututia njaa, kwa kuwazuia wasifanyebiashara wanataka kupewa haki zaona kusikilizwa.
Barabara ikiwa imefungwa
 Maduka yakiwa yamefungwa katika Stendi ya magari madogo abiria(daladala) Kabwe jijini Mbeya, kutokana na vurugu zinazoendelea ambazo zimetokana na wafanyabiashara wadodowadogo machinga wa eneo la Mwanjelwa kuondolewa na halmashauri ya jiji kufanya biashara katika maeneo yasiyoruhusiwa.
 Nguzo ya bango la Matangazo lililopo eneo la Stendi ya magari ya abiria(daladala), ambapo Tangazo lililokuwa eneo hilo la Epic Nation lilichomwa moto kufuatia vurugu zinazoendelea ambazo zimetokana na wafanyabiashara wadodowadogo machinga wa eneo la Mwanjelwa kuondolewa na halmashauri ya jiji kufanya biashara katika maeneo yasiyoruhusiwa.
Baadhi ya wasababishaji wa vurugu nya vurugu wakiendelea na shughuli nzima za ufungaji wa barabara kufuatia vurugu zinazoendelea ambazo zimetokana na wafanyabiashara wadodowadogo machinga wa eneo la Mwanjelwa kuondolewa na halmashauri ya jiji kufanya biashara katika maeneo yasiyoruhusiwa.

Post a Comment

 
Top