Menu
 

Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete akiwa tayari kuongoza kikao cha NEC leo katika ukumbi wa NEC Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma leo. Wengine kutoka Kushoto ni Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Benjamin Mkapa, Rais wa Zanzibar Dk. Sheni, Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar) Amani Abeid Karume na kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Pius Msekwa na Katibu Mkuu wa CCM Wilson Mukama.


Kiwete akiongoza kikao cha NEC mjini Dodoma. Wengine kutoka Kushoto ni Mkapa, Shein na Karume.


Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akimsalimia Mbunge wa Monduli na Mjumbe wa NEC, Edward Lowassa. Kulia ni Mjumbe wa NEC Kingunge Ngombale Mwiru na katikati ni Mjumbe wa NEC, Frederick Sumaye. (Picha zote na Bashir Nkoromo).
Nape akimsalimia Sumaye
Katibu wa NEC, Uchumi na Fedha Mwigulu Nchemba akimsalimia Lowassa. Katikati ni Kingunge Ngpbale Mwiru
Kingunge akimpiga nasaha Lowassa
Wajumbe wakipitia makabrasaha kabla ya kuanza mkutano
Lowassa akisalimiana na Shamhuna
Chenge (kulia) akipitia kabrasha
Katibu wa NEC Oganaizesheni Asha Abdallah Juma akisalimiana na Mjumbe wa NEC Kawawa. anayewashuhudia ni Katibu Mkuu wa CCM , Martine Shigela
Wajumbe wakiwa kwenye mkutano wa NEC leo
Kwa picha zaidi Bofya Read More


Post a Comment

 
Top