Menu
 

Salam,
 Wakati  tunapokuwa tunajiandaa kuelekea katika sherehe za miaka 50 ya uhuru Urban Pulse Creative watakua wanakuletea mtiririko wa Mahojiano maalum kutoka kwa Mh Waziri Mkuu Mizengo Pinda ili kutuelimisha na kutupatia changamoto mbalimbali zinazozikabili taifa letu.
 
Hii ni sehemu ya kwanza ya Mahojiano hayo.
 
Asanteni Sana,
 
URBAN PULSE CREATIVE

Post a Comment

 
Top