Menu
 

 Mkuu wa Mkoa Muheshimiwa Abas Kandoro akiwa na waandishi wa habari Muda huu wakijadili swala la Mgogoro na wamachinga 
 Bara bara zimefungwa Maeneo ya Mama John Muda huu Live
 Waandishi wa Habari wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa kwa umakini kutokana na Sakata Hili la wamachinga
 Wanachi wa Mbeya wakiwa wanashangilia tuu muda huu wakati waandishi wanaendelea na kikao na Mkuu wa mkoa 
Mkuu wa Mkoa Bw. Abas Kandoro akiwa anaongea na Waandishi wa habari
Endelea kufuatilia habari hii kwa Ukaribu zaidi hapa hapa (Picha na Mbeya yetu).

NB:- MWENYEKITI WA MBEYA PRESS CLUB BWANA CHRISTOPHER NYENYEMBE AWATAKA WAANDISHI WA HABARI MKOANI MBEYA KUZINGATIA MAADILI YA UANDISHI WA HABARI NA SIO KUCHOCHEA VURUGU.

Post a Comment

 
Top