Menu
 

 Mmoja wa mashuhuda wa ajali akiangalia basi dogo aina ya Coster lenye namba za usajiri T 755 BHA lilosambaratika   baada ya kugongana uso kwa uso na Roli  lenye namba za usajiri T  859 eneo ya Mlimanyoka nje kidogo ya Jiji la Mbeya jana. Shuhuda huyo alisema kwamba ajali hiyo ilitokea baada ya Coster hiyo kutaka kilipita roli hilo lililokuwa likitokea Jijini Mbeya kuelekea Dar es Salaam. Yasadikiwa watu wawili wamepoteza maisha papo hapo na wengine kumi kujeruhiwa vibaya.
 Mkazi wa maeneo ya Mlimanyoka akiangalia basi dogo aina ya Coster lenye namba za usajiri  T 755 BHA lililogongana uso kwa uso na  Roli aina ya Scania lenye namba  T 859 AGL  baada ya kugongana uso kwa uso maeneo ya Mlima Nyoka nje kidogo ya Jiji la Mbeya jana.Coster hiyo ilipata ajali ilipokuwa ikitaka kulipita roli lililokuwa likitokea Mbeya kwenda Dar es Salaam.Yasadikiwa watu wawili wamepoteza maisha na wengine zaidi ya kumi kujeruhiwa.
Sehemu ya mbele ya roli aina ya Scania lenye namba ya usajiri T859 ambalo liligongona uso kwa uso na basi dogo aina ya Coster namba T 755 BHA  likiwa limebondeka vibaya baada ya kutokea ajali hiyo maeneo ya Mlimanyoka  nje  kidogo ya jiji la Mbeya.Yasadikiwa watu wawili walipoteza maisha na wengine kumi kujeruhiwa. 

Post a Comment

 
Top