Menu
  KIKOSI KAZI CHA BIMA YA AFYA KIKIWA KATIKA VIWANJA VYA RUANDA NZOVWE JIJINI MBEYA JANA KATIKA UZINDUZI WA GARI LA UHAMASISHAJI KWA AJILI YA KUJIUNGA NA MFUKO WA AFYA YA JAMII (CHF)
 WANANCHI WAKIENDELEA KUJIANDIKISHA NA KUJIUNGA NA MFUKO HUO WA AFYA YA JAMII (CHF) UWANJANI HAPO.

 BURUDANI NAZO HAZIKUKOSA AMBAPO KIKUNDI CHA SANAA CHA KIHUMBE KILITOA BURUDANI ZA UHAMASISHAJI WA KUJIUNGA NA MFUKO HUO WA AFYA YA JAMII.

 KUSHOTO NI MBUNGE VITI MAALUM  (CCM) MKOA WA MBEYA DR.MARY MWANJELWA AKISALIMIANA NA MGANGA MKUU WA JIJI LA MBEYA DR.SAMWEL LAZARO.

 GARI HILO LA KISASA LINA SINEMA NA VIFAA MBALIMBALI MUHIMU KWA AJILI YA KAZI YA UHAMASISHAJI. KULIA NI MBUNGE DR.MARY MWANJELWA AKIMKABIDHI UFUNGUO WA GARI HILO MWENYEKITI WA BODI YA AFYA YA JAMII JIJI LA MBEYA ANDALALISYE MWAIHABI


 KIKUNDI CHA KIHUMBE KIKIWA KINAENDELEA KUTOA BURUDANI.


 KULIA NI DR.MWANJELWA AKIWA JUKWA KUU, ANAYEFUATA NI MENEJA MFAWIDHI WA MFUKO WA BIMA YA AFYA YA TAIFA CELESTIN MUGANGA NA KULIA NI MWAKILISHI WA MKURUGENZI WA JIJI LA MBEYA AMBAYE JINA LAKE HALIKUPATIKANA MARA MOJA.


KULIA NI MENEJA MFAWIDHI  WA BIMA YA AFYA KANDA YA NYANDA ZA JUU KUSINI CELESTIN MUGANGA AKIFURAHI PAMOJA NA MWANANCHI JOHN MURO ALIYEJIUNGA NA MFUKO WA AFYA YA JAMII PAPO HAPO WAKATI WA UZINDUZI WA GARI LA UHAMASISHAJI JANA.


 KUSHOTO NI MWANDISHI WA HABARI WA GAZETI LA MAJIRA MKOANI MBEYA CHARLES MWAKIPESILE AMBAYE PIA NI MC MAARUFU NCHINI AKIENDESHA SHEREHE HIZO ZA UZINDUZI WA GARI LA UHAMASISHAJI WA KUJINGA NA MFUKO WA AFYA YA JAMII (NHF)


 KULIA NI DR.MWANJELWA AKISISITIZA JAMBO JUU YA UMUHIMU WA MFUKO HUO NA WATENDAJI WA BIMA YA AFYA KUTEMBELEA WAGONJWA HOSPITALINI ILI KUJUA KAMA WANAPATA HUDUMA KWA USAHIHI.


 DR.MWANJELWA AKIWA NDANI YA GARI HILO KUASHIRIA KUZINDUA RASMI.


 Dr.MARY MWANJELWA (Kushoto) akipeana mkono na Meneja mfawidhi wa bima ya Afya ya Taifa CELESTIN MUGANGA. (Kwa hisani ya Kalulunga Community Media Tanzania).Post a Comment

 
Top