Menu
 
MTOTO AFUNGWA KAMBA YA KATANI MIGUU NA MAMA YAKE
MTOTO AFUNGWA KAMBA YA KATANI MIGUU NA MAMA YAKE

Habari na Ezekiel Kamanga, Mbeya Bi Rahabu Robert (26) mkazi wa mtaa wa Manga A, jijini Mbeya amekutwa amemfunga kamba ya katani kwenye me...

Read more »

UNYANYASAJI WA KIJINSIA:- MWANAMKE APIGWA , AFUNGIWA SIKU TATU NDANI BILA KUPEWA MATIBABU - MBEYA
UNYANYASAJI WA KIJINSIA:- MWANAMKE APIGWA , AFUNGIWA SIKU TATU NDANI BILA KUPEWA MATIBABU - MBEYA

Habari na Ezekiel Kamanga, Mbeya Bi Judith Mnyape (32) mkazi wa Ghana Magharibi jijini Mbeya amepingwa na mumewe Bwana Clemence Luhimbo (3...

Read more »

MWANAMKE APANDISHWA KIZIMBANI KWA KOSA LA KUMUUA MWANAE - MBEYA
MWANAMKE APANDISHWA KIZIMBANI KWA KOSA LA KUMUUA MWANAE - MBEYA

Habari na Mwandishi wetu Neema Edson mwenye umri wa miaka 19 mkazi wa Namtanga Swaya jijini Mbeya amefikishwa katika mahakama ya mkoa kwa...

Read more »

MGOMO WA MADAKTARI HOSPITALI  YA RUFAA, MBEYA NINI TAMATI YAKE?
MGOMO WA MADAKTARI HOSPITALI YA RUFAA, MBEYA NINI TAMATI YAKE?

Habari na Mwandishi wetu, Mbeya Mgomo wa madakta Hospitali ya Rufaa, Mbeya umeendelea huku madaktari hao wakidai kuwa mgomo huo utakuwa ende...

Read more »

SAKATA LA MGOGORO NA MWEKEZAJI:-  WANANCHI WAPATWA NA HOFU JUU YA MAISHA YAO MBARALI - MBEYA
SAKATA LA MGOGORO NA MWEKEZAJI:- WANANCHI WAPATWA NA HOFU JUU YA MAISHA YAO MBARALI - MBEYA

Mfugaji Bwana Mungo Makubi (27) kushoto na Singu Mwakami (23) wakimtazama ng'ombe aliyeuawa kwa kugongwa na gari aina ya Toyo...

Read more »

MAUAJI YA KUTISHA DHIDI YA WATOTO WAWILI MKOANI MBEYA
MAUAJI YA KUTISHA DHIDI YA WATOTO WAWILI MKOANI MBEYA

 Wanafunzi wa Shule ya Msingi Nsenga jijini Mbeya wakitoka kushuhudia mwili wa mwanafunzi mwenzao wa darasa la Kwanza Silvia Isaya (5) ali...

Read more »

WANAWAKE WA KANISA LA MORAVIAN JIMBO LA KUSINI MAGHARIBI WAPEWA MSAADA WA MAJIKO NA TAA AMBAZO HUTUMIA MIOZI YA JUA
WANAWAKE WA KANISA LA MORAVIAN JIMBO LA KUSINI MAGHARIBI WAPEWA MSAADA WA MAJIKO NA TAA AMBAZO HUTUMIA MIOZI YA JUA

 Idara ya Wanawake na watoto Kanisa la Moravian Jimbo la Kusini Magharibi Tanzania limepokea misaada mbalimbali ikiwemo ya taa na jiko amb...

Read more »

WATOTO YATIMA WASAIDIWA WILAYANI CHUNYA - MBEYA
WATOTO YATIMA WASAIDIWA WILAYANI CHUNYA - MBEYA

  Waumini wa Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Kusini Magharibi wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya wakipokea msaada hivi karibuni kutoka kwa...

Read more »

UHABA WA FEDHA WASABABISHA KUSUASUA KWA UJENZI WA MADARASA - MBEYA
UHABA WA FEDHA WASABABISHA KUSUASUA KWA UJENZI WA MADARASA - MBEYA

Habari na Mwandishi wetu Afisa mtendaji kata ya Iyela bwana Ezekiel Kipako amesema ujenzi wa vyumba vya madarasa vya shule ya Sekondari Iyel...

Read more »

WANANCHI WAONYWA KUACHA MARA MOJA KUTUMIA VIPODOZI HATARISHI.
WANANCHI WAONYWA KUACHA MARA MOJA KUTUMIA VIPODOZI HATARISHI.

 Mkurugenzi wa Mamlaka ya Chakula na Dawa Kanda ya Nyanda za Juu Kusini Bwana Paul Sonda, katika mkutano mkuu wa madaktari wa Hospitali na...

Read more »

MLINZI MBARONI KWA KUIBA SILAHA - MBEYA
MLINZI MBARONI KWA KUIBA SILAHA - MBEYA

Habari na Ezekiel Kamanga, Mbeya Jeshi la Polisi mkoani Mbeya linamshikilia Devid John mwenye umri wa miaka 36 mfanyakazi wa Kampuni ya ul...

Read more »

WIMBI LA UBAKAJI LAZIDI KUSHAMIRI MKOANI MBEYA KIKONGWE ABAKA. - MBEYA
WIMBI LA UBAKAJI LAZIDI KUSHAMIRI MKOANI MBEYA KIKONGWE ABAKA. - MBEYA

Habari na Ezekiel Kamanga, Mbeya. Wimbi la ubakaji mkoani Mbeya limeendelea kushika kasi baada ya Mzee mwingine aliyefahamika kwa jina la ...

Read more »

HOSPITALI NA ZAHANATI BINAFSI ZIMEASWA KUTOTUMIA DAWA ZA SERIKALI - MBEYA
HOSPITALI NA ZAHANATI BINAFSI ZIMEASWA KUTOTUMIA DAWA ZA SERIKALI - MBEYA

Mganga mkuu wa Hospitali ya Mkoa wa Mbeya Dokta Seif Mhina, akizungumza na madaktari wa Hospitali na Zahanati binafsi katika Ukumbi wa You...

Read more »

WILAYA YA MBEYA YAKABILIWA NA UPUNGUFU WA MADARASA.
WILAYA YA MBEYA YAKABILIWA NA UPUNGUFU WA MADARASA.

Habari na Ezekiel Kamanga, Mbeya. Wilaya ya Mbeya inakabiliwa na upungufu wa madarasa kwa wanafunzi wa kidato cha kwanza ambao wamechaguli...

Read more »

MTU MMOJA AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KOSA LA UBAKAJI
MTU MMOJA AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KOSA LA UBAKAJI

Habari na Mtandao huu, Mbeya. Robert John Hasani mwenye umri wa miaka 24 mkazi wa Majengo jijini Mbeya amefikishwa katika mahakama ya haki...

Read more »

KAMATI NDOGO YAUNDWA KUHAMASISHWA MFUKO WA AFYA YA JAMII CHF WILAYANI RUNGWE - MBEYA
KAMATI NDOGO YAUNDWA KUHAMASISHWA MFUKO WA AFYA YA JAMII CHF WILAYANI RUNGWE - MBEYA

Habari na Mtandao huu, Mbeya. Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya imeunda kamati ndogo ya watu 10 itakayoandaa mikakati ya kuhakikisha hamas...

Read more »

NYETI ZA MWANAMKE ZATOWEKA USINGIZINI - MBEYA
NYETI ZA MWANAMKE ZATOWEKA USINGIZINI - MBEYA

Habari na Ezekiel Kamanga, Mbeya Tunkumbukege Mbalaswa (20) mama wa watoto wanne mkazi wa kijiji cha Nsongola kata ya Bujela wilaya ya Run...

Read more »

KILA KUKICHA VITENDO VYA UBAKAJI VYAZIDI KULITIKISA JIJI LA MBEYA.
KILA KUKICHA VITENDO VYA UBAKAJI VYAZIDI KULITIKISA JIJI LA MBEYA.

Habari na mwandishi wetu. Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina moja la Jamesi mwenye umri wa miaka 40 amenusurika kifo baada ya kupigwa na wan...

Read more »

KIKONGWE MBAKAJI AFIKISHWA MAHAKAMANI - MBEYA
KIKONGWE MBAKAJI AFIKISHWA MAHAKAMANI - MBEYA

 Baba mzazi wa binti aliyebakwa na Mzee Asangile Kihaka (70), anayefahamika kwa jina la Bwana Ekson Nazareth  (47), ambaye pia ni mzee w...

Read more »

RAIA 27 WA SOMALIA WASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI KWA KOSA LA KUINGIA NCHINI KINYUME NA SHERIA - MBEYA
RAIA 27 WA SOMALIA WASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI KWA KOSA LA KUINGIA NCHINI KINYUME NA SHERIA - MBEYA

Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Mbeya Advocate Nyombi. *****  Habari na Mwandishi wetu. Raia 27 wa Somalia wanashikiliwa na Jeshi l...

Read more »

MWILI WA MBUNGE WA CHADEMA AZIKWA MOROGORO  - MAREHEMU REGIA
MWILI WA MBUNGE WA CHADEMA AZIKWA MOROGORO - MAREHEMU REGIA

Makamu Wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal na mkewe Mama Zakhia Bilal, wakitoa heshima za mwisho kwa ...

Read more »

WIMBI LA UBAKAJI MAUAJI:- WATU WAWILI WAFIKISHWA MAHAKAMANI KWA MATUKIO MAWILI TOFAUTI - MBEYA
WIMBI LA UBAKAJI MAUAJI:- WATU WAWILI WAFIKISHWA MAHAKAMANI KWA MATUKIO MAWILI TOFAUTI - MBEYA

Habari na Mwandishi wetu. John Jackson mwenye umri wa miaka 19 mkazi wa Mbeya Pick amefikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa M...

Read more »

MGOMO WA MADEREVA WA MALORI WAENDELEA - TUNDUMA
MGOMO WA MADEREVA WA MALORI WAENDELEA - TUNDUMA

Katikati mwenye koti jeusi diwani wa kata ya Tunduma Mheshimiwa Frank Mwakajoka Baada ya wafanyabiashara kushindwa kufanyabiashara zao n...

Read more »

CHAMA CHA MASOKO MKOANI MBEYA KIMEUTAKA UONGOZI WA HALMASHAURI YA JIJI KUTOWANYANYASA WAFANYABIASHARA.
CHAMA CHA MASOKO MKOANI MBEYA KIMEUTAKA UONGOZI WA HALMASHAURI YA JIJI KUTOWANYANYASA WAFANYABIASHARA.

Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Bwana Evans Balama(kushoto) akiwa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mbeya maarufu kama Ndomboro, katika moja ya vika...

Read more »
 
Top