Menu
 

 Abiria 29 waliokuwa wakitokea Wilaya ya Kyela kuelekea Jijini Mbeya wanusurika kwa ajali ya moto baada ya mfumo wa breki ya gari aina ya Coster yenye namba T. 320 AQV kuharibika hivyo kulazimika gari hilo kushindwa kushusha abiria katika vituo vya Uyole, Sae, Soweto na Mwanjelwa mpaka pale lilipookolewa na jeshi la Zimamoto katika Kituo cha mafuta cha Oil Com eneo la Mafiati jijini hapa. Tukio lililotokea majira ya saa 9 alasiri jana.
Bi Sarah Mwakabenga akiwa na wanawe wanne walionusurika katika ajali hiyo ya moto baada ya  iliyokuwa na abiria 29 waliokuwa wakitokea wanusurika kwa ajali ya moto, baada ya mfumo wa breki ya gari aina ya Coster yenye namba T. 320 AQV kuharibika , iliyokuwa ikiendeshwa na Bwana Asubisye Sadiki (33) baada ya kuokolewa na jeshi la Zimamoto katika Kituo cha mafuta cha Oil Com eneo la Mafiati jijini hapa. Tukio lililotokea majira ya saa 9 alasiri jana. (Picha na Chimbuko Letu.)

Post a Comment

 
Top