Menu
 
Gari ya mizigo aina ya Scania T. 460 BJV lenye tela namba T. 365 BLP mali ya Kampuni ya Gahir Inter Trading lililokuwa likieneshwa na dereva Shabani Jumanne na tingo wake Bakari Sharrif, likiwa na shehena Tani 25 za sukari likitokea nchi ya Malawi kuelekea nchi ya Kenya lilipinduka katika mteremko wa Mto Inyala, baada ya kugongwa kwa nyumba na roli jingine lenye namba T. 297 AQG lililokuwa na tela lake T.636 BFS lililokuwa na shena ya shaba likitokea nchi ya Zambia kuelekea jiji la Dar es salaam.
Tukio hili limetokea Januari 6, mwaka huu majira ya saa 10 jioni na madereva wa magari yote mawili wamejuruhiwa na kukimbizwa katika Hospitali ya Rufaa iliyopo jijini Mbeya kwa ajili ya matibabu. Pichani ni baadhi ya mashuhuda wa ajali hiyo wakitoa msaada wa upakuaji na upakiaji wa mifuko ya sukari.
  Kontena lililokuwa na shena ya shaba likitokea nchi ya Zambia kuelekea jiji la Dar es salaam, likiwa limedondoka mara baada ya roli lenye namba T. 297 AQG lililokuwa limebeba kontena hili kugonga kwa nyuma na kisha kupinduka, gari ya mizigo aina ya Scania T. 460 BJV lenye tela namba T. 365 BLP mali ya Kampuni ya Gahir Inter Trading, lililokuwa likieneshwa na dereva Shabani Jumanne na tingo wake Bakari Sharrif, likiwa na shehena Tani 25 za sukari likitokea nchi ya Malawi kuelekea nchi ya Kenya. Tukio lililotokea  katika mteremko wa Mto Inyala, Januari 6, mwaka huu majira ya saa 10 jioni na madereva wa magari yote mawili wamejuruhiwa na kukimbizwa katika Hospitali ya Rufaa iliyopo jijini Mbeya kwa ajili ya matibabu.
 Mashuhuda wa ajali ya gari ya mizigo aina ya Scania T. 460 BJV lenye tela namba T. 365 BLP mali ya Kampuni ya Gahir Inter Trading lililokuwa likieneshwa na dereva Shabani Jumanne na tingo wake Bakari Sharrif, likiwa na shehena Tani 25 za sukari likitokea nchi ya Malawi kuelekea nchi ya Kenya lilipinduka katika mteremko wa Mto Inyala, baada ya kugongwa kwa nyumba na roli jingine lenye namba T. 297 AQG lililokuwa na tela lake T.636 BFS lililokuwa na shena ya shaba likitokea nchi ya Zambia kuelekea jiji la Dar es salaam.
Tukio hili limetokea Januari 6, mwaka huu majira ya saa 10 jioni na madereva wa magari yote mawili wamejuruhiwa na kukimbizwa katika Hospitali ya Rufaa iliyopo jijini Mbeya kwa ajili ya matibabu.
 Gari ya mizigo aina ya Scania T. 460 BJV lenye tela namba T. 365 BLP mali ya Kampuni ya Gahir Inter Trading lililokuwa likieneshwa na dereva Shabani Jumanne na tingo wake Bakari Sharrif, likiwa na shehena Tani 25 za sukari likitokea nchi ya Malawi kuelekea nchi ya Kenya lilipinduka katika mteremko wa Mto Inyala, baada ya kugongwa kwa nyumba na roli jingine lenye namba T. 297 AQG lililokuwa na tela lake T.636 BFS lililokuwa na shena ya shaba likitokea nchi ya Zambia kuelekea jiji la Dar es salaam.
Tukio hili limetokea Januari 6, mwaka huu majira ya saa 10 jioni na madereva wa magari yote mawili wamejuruhiwa na kukimbizwa katika Hospitali ya Rufaa iliyopo jijini Mbeya kwa ajili ya matibabu.
Sehemu ya mbele ya roli lenye namba T. 297 AQG lililokuwa na tela lake T.636 BFS lililokuwa na shena ya shaba likitokea nchi ya Zambia kuelekea jiji la Dar es salaam, lililoigonga gari ya mizigo aina ya Scania T. 460 BJV lenye tela namba T. 365 BLP mali ya Kampuni ya Gahir Inter Trading lililokuwa likieneshwa na dereva Shabani Jumanne na tingo wake Bakari Sharrif, likiwa na shehena Tani 25 za sukari likitokea nchi ya Malawi kuelekea nchi ya Kenya na kisha kupinduka katika mteremko wa Mto Inyala.
Tukio hili limetokea Januari 6, mwaka huu majira ya saa 10 jioni na madereva wa magari yote mawili wamejuruhiwa na kukimbizwa katika Hospitali ya Rufaa iliyopo jijini Mbeya kwa ajili ya matibabu. (Picha na Ezekiel Kamanga na Chimbuko Letu., Mbeya)

Post a Comment

Top