Menu
 

Ajira kwa watoto kwa haribu mazingira mkoani Mbeya, kutokana na watoto kujihusisha na uchimbaji wa mchanga na kupoteza kingo katika mto Mbalizi. 
Hata hivyo watoto hao wamekuwa wakilipwa ujira mdogo wa shilingi 500/= hadi 2000/= licha mchanga huo kuuzwa kati ya shilingi 10,000/= hadi shilingi 30,000= kwa roli moja la Tani 7 (Picha na Ezekiel Kamanga).

Post a Comment

 
Top