Menu
 

Mama mmoja anayekadiliwa kuwa na umri wa miaka zaidi ya 5O, ameuawa kikatili kwa kukatwakatwa na mapanga majira ya saa 9 usiku wa kuamkia leo. Siku chache watu wasiofahamika walimvamia na kumjeruhi mama huyo na mwanawe ambaye mpaka sasa amelazwa katika hospitali ya Makandana wilayani humo. Katika tukio la leo mkwewe amejeruhiwa.

Jeshi la Polisi mkoani Mbeya linaendelea kufuatilia na kufanya uchunguzi wa ukatili huu.
*Kwa habari zaidi endelea kutembelea mtandao huu!!.*
********************

Post a Comment

 
Top