Menu
 

 Polisi wafumbia macho upakiaji wa abiria kwenye magari ya mizigo, licha ya Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Mbeya Advocate Nyombi kuzuia, kufuatia ajali ambazo hutokea mara kwa mara mkoani hapa. Pichani ni gari ya mizigo lililokutwa na mwandishi wetu likiwa limepakia abiria na kuruhusiwa kuendelea na safari kutoka Mbalizi kuelekea Chunya mkoani hapa.
Pichani ni gari ya mizigo aina ya Toyota Landacruiser lililokutwa na mwandishi wetu likiwa limepakia abiria na kuruhusiwa kuendelea na safari kutoka Mbalizi kuelekea Chunya mkoani hapa.
 Gari aina ya Lori (katikati), likiwa limebeba abiria na mizigo kuelekea Mkwajuni wilayani Chunya, licha ya Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Mbeya Advocate Nyombi kuzuia magari ya mizigo kubeba, kufuatia ajali ambazo hutokea mara kwa mara mkoani hapa.
 (Picha na Ezekiel Richard Kamanga)

Post a Comment

 
Top