Menu
 

 Mifugo inayofugwa katikati ya jiji la Mbeya huchafua mazingira na Wenyeviti na Watendaji wa mitaa huchukua pesa kwa wanyonge na kuwaacha wamiliki wa mifugo ambao wamekuwa wakitoa pesa nyingi. Pichani ni eneo la Mwanjelwa kata ya Ruanda jijini hapa ambapo mfugaji wa ng'ombe huogopwa na viongozi wa mtaa huo. Je? kwa hali hii tutafika?.
Pichani ni maji ya kinyesi cha ng'ombe hutiririkia kutokana na mvua zinazonyesha na hivyo dada huyu hulazimika kulipa faini, kutokana na mazingira hayo kuchafuliwa na kinyesi cha ng'ombe aliyopo picha ya juu.

Post a Comment

 
Top