Menu
 

 Mwimbaji wa Nyimbo za Injili nchini Bwana Amani Mwasote, akiwa katika pilikapilika za kurekodi video ya moja ya kwaya ambayo ilikuwa ikifanya video na kampuni yake ya kisasa ijulikanayo kwa jina la Shine Video Centre, iliyopo eneo la Airport Jijini Mbeya. 
Shine Video Centre imeshakamilisha utengenezaji wa video za albamu ya Kwaya nne ambazo zote zinafanya vizuri sokoni ikiwemo Kwaya ya Kaza mwendo ya Tunduma, Struggle in Christ ya Simike na Kwaya ya Herven Collectors ya Nzovwe zote za jijini hapa.
Pichani Amani Mwasote (katikati), na baadhi ya wanakwaya wakiwa katika maandalizi ya upigaji picha wa video katika eneo la Mtoto Sisimba karibu na Shule ya Sekondari ya Kutwa ya Mbeya, iliyopo jijini Mbeya. 
Bwana Amani Mwasote anamiliki kampuni ya kurekodi video inayoitwa  Shine Video Centre imeshakamilisha utengenezaji wa video za albamu ya Kwaya nne ambazo zote zinafanya vizuri sokoni ikiwemo Kwaya ya Kaza mwendo ya Tunduma, Struggle in Christ ya Simike na Kwaya ya Herven Collectors ya Nzovwe zote za jijini hapa.

Post a Comment

 
Top