Menu
 

 Stika ya karatasi ya A4 ambayo imepigwa photocopy na kuwa stika ya Albamu iliyochakachuliwa ya mwimbaji wa Nyimbo za Injili nchini Bi Christina Shusho iliyochakachuliwa inayouzwa kwa shilingi 1,000 kwa DVD ya video kwa reja reja na Jumla kwa shilingi 800 kwa DVD moja.
 Wasanii wa Tasnia ya muziki nchini Tanzania wanaendelea kuwa maskini kutokana na Mamlaka zinazohusika katika kusimamia kazi zao, kama COSOTA kutosimamia ipasavyo Mikoani kwani kazi za wasanii zimeendelea kuchakachuliwa kwa kasi na maharamia wanaodurufu kazi hizo na kujinufaisha wao binafsi huku wasanii wakiendelea kuwa maskini.
 Bwana Gordon Kalulunga akionesha moja ya kazi mwimbaji wa Nyimbo za Injili nchini Bi Christina Shusho iliyochakachuliwa inayouzwa kwa shilingi 1,000 kwa DVD ya video kwa reja reja na Jumla kwa shilingi 800 kwa DVD moja.
Karatasi ya A4 ambayo imepigwa photocopy na kuwa stika feki ya Albamu iliyochakachuliwa ya mwimbaji wa Nyimbo za Injili nchini Bi Christina Shusho iliyochakachuliwa inayouzwa kwa shilingi 1,000 kwa DVD ya video kwa reja reja na Jumla kwa shilingi 800 kwa DVD moja. 
COSOTA fikeni mikoani na kufanya uchunguzi ili kuwanusuru wasanii kutokuwa ombaomba na kunufaika na mauzo ya kazi zao halisi sokoni.

Post a Comment

 
Top