Menu
 

Mafundi seremala waliopata mafunzo katika Chuo cha Ufundi cha Moravian jijini Mbeya, wamejiajiri katika kijiji cha Halungu wilayani Mbozi, kwa lengo la kuondokana na uchumi tegemezi ambapo wanamiliki karakana yao iliyopo eneo la Godown Halungu.
Pichani kutoka kushoto ni Bwana Peter Mwashilindi (25) na kulia ni John Nzunda (28) ambao wamekuwa chachu ya maendeleo kijijini hapo kwa kutengeneza samani bora. Serikali na Taasisi mbalimbali za mikopo iunge mkono kwa kuwakopesha vitendea kazi na fedha ili kuendeshea shughuli zao kwa ufanisi.

Post a Comment

 
Top