Menu
 
WAKAZI WALIOKUBWA NA MAAFA KWA KUPOTEZA MAZAO YAO BAADA YA KUHARIBIWA NA MVUA KUBWA YA MAWE  HATIMAYE WAPEWA MSAADA - MBEYA.
WAKAZI WALIOKUBWA NA MAAFA KWA KUPOTEZA MAZAO YAO BAADA YA KUHARIBIWA NA MVUA KUBWA YA MAWE HATIMAYE WAPEWA MSAADA - MBEYA.

Habari na Angelica Sullusi, Mbeya. Wakazi wa Kijiji cha Nsambya, Kata ya Iwindi, Wilaya ya Mbeya waliokubwa na maafa kwa kupoteza mazao yao ...

Read more »

ANYWA SUMU NA KUPOTEZA UHAI BAADA YA KUPOTEZA SHILINGI ELFU KUMI NA TATU - MBEYA
ANYWA SUMU NA KUPOTEZA UHAI BAADA YA KUPOTEZA SHILINGI ELFU KUMI NA TATU - MBEYA

Habari na mwandishi wetu. Shida Sasumba (37) mkazi wa Sinde jijini Mbeya amekunywa sumu na hali iliyompelekea kufikwa na mauti, baada ya kup...

Read more »

SHULE YA SEKONDARI YAKABILIWA NA UPUNGUFU WA WANAFUNZI  KUTOKANA NA IDADI YA VYUMBA VYA MADARASA- MBOZI
SHULE YA SEKONDARI YAKABILIWA NA UPUNGUFU WA WANAFUNZI KUTOKANA NA IDADI YA VYUMBA VYA MADARASA- MBOZI

Habari na Angelica Sullusi, Mbeya. Shule ya Sekondari ya Kata ya Msangano Wilayani Mbozi inakabiliwa na upungufu wa wanafunzi kulingana n...

Read more »

MCHUNGAJI AVAMIA NA KUJIMILIKISHA ENEO LA MTU NA KUENDESHEA IBADA PASIPO KUPEWA NA MMILIKI   - MBEYA.
MCHUNGAJI AVAMIA NA KUJIMILIKISHA ENEO LA MTU NA KUENDESHEA IBADA PASIPO KUPEWA NA MMILIKI - MBEYA.

Habari na Ezekiel Kamanga,Mbeya Mchungaji Elia Jongo wa kanisa la Church Of God   la Air port jijini Mbeya baada ya eneo la alilokuwa ame...

Read more »

MH WAZIRI NGELEJA AFANYA MAHOJIANO MAALUM NA URBAN PULSE
MH WAZIRI NGELEJA AFANYA MAHOJIANO MAALUM NA URBAN PULSE

Mh waziri Ngelela akifanya mahojiano maalum na Baraka Baraka Kutoka Urban Pulse.   Mh. William Ngeleja katika picha ya Pamoja (Kushoto) F...

Read more »

WAZEE WA KIMILA WAMEKEMEA VITENDO VYA KIOVU MKOANI MBEYA.
WAZEE WA KIMILA WAMEKEMEA VITENDO VYA KIOVU MKOANI MBEYA.

Wazee wa kimila mkoani Mbeya kwa kushirikiana na Kikundi cha Polisi jamii ulinzi shirikishi wamendelea kupinga na kukemea  vitendo vya upiga...

Read more »

WAZIRI WA AFYA APOKEA VIFAA VYA MATIBABU KUTOKA SHIRIKA LA MERCK LA NCHINI UJERUMANI
WAZIRI WA AFYA APOKEA VIFAA VYA MATIBABU KUTOKA SHIRIKA LA MERCK LA NCHINI UJERUMANI

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii,Dkt. Hajji Mponda akizungumza na waandishi wa habari waliofika kwenye ukumbi wa mikutano wa Wizara ya ...

Read more »

AGONGWA NA GARI LA MSAFARA WA MAKAMU WA RAIS JIJINI MBEYA.
AGONGWA NA GARI LA MSAFARA WA MAKAMU WA RAIS JIJINI MBEYA.

Habari na Mwandishi wetu. M tu mmoja mkazi wa kijiji cha Shamwengo Wilaya ya Mbeya vijijini Mkoani Mbeya aligongwa na moja ya mgari yaliy...

Read more »

WATU 2 WAFARIKI DUNIA KATIKA MATUKIO 2 TOFAUTI MKOANI MBEYA.
WATU 2 WAFARIKI DUNIA KATIKA MATUKIO 2 TOFAUTI MKOANI MBEYA.

Habari na Mwanishi wetu W atu wawili wamefariki dunia katika matukio  mawili tofauti mkoani Mbeya yaliyotokea Februari 26 mwaka huu. Ka...

Read more »

YALIYOJILI KATIKA ZIARA YA MAKAMU WA RAIS DAKTA BILALI KATIKA MJI MDOGO WA TUNDUMA - MBEYA
YALIYOJILI KATIKA ZIARA YA MAKAMU WA RAIS DAKTA BILALI KATIKA MJI MDOGO WA TUNDUMA - MBEYA

 Makamu wa Rais wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dakta Mohammed Gharib Bilal akisamilimiana na baadhi ya viongozi wa Chama c...

Read more »

OFA!! OFA!! MSANII WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA a.k.a BONGO FLEVA UMEISOMA HII...
OFA!! OFA!! MSANII WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA a.k.a BONGO FLEVA UMEISOMA HII...

* G.VISION PRO.. IMETOA OFA KWA WASANII WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA KATIKA KUTENGENEZA MUSIC VIDEOZ KWA GHARAMA NAFUU NA KATIKA KIWANGO CHA KI...

Read more »

SILAHA, KETE ZA BANGI NA KUINGIA NCHINI BILA KIBALI, WATU  SABA WASHIKILIWA NA JESHI  LA  POLISI MKOANI  MBEYA
SILAHA, KETE ZA BANGI NA KUINGIA NCHINI BILA KIBALI, WATU SABA WASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI MKOANI MBEYA

Habari na Mwandishi wetu. Jeshi la polisi mkoani Mbeya linawashikilia watu saba kwa tuhuma za kuingia nchiini bila kibali, kukutwa na kete z...

Read more »

MBUNGE WA VITI MAALUMU MKOA WA MBEYA, MARY MWANJELWA AMETOA MSAADA WA MASHINE YA KUANGUA VIFARANGA VYA KUKU.
MBUNGE WA VITI MAALUMU MKOA WA MBEYA, MARY MWANJELWA AMETOA MSAADA WA MASHINE YA KUANGUA VIFARANGA VYA KUKU.

Mbunge wa viti maalum mkoa wa Mbeya Dokta Mary Mwanjelwa akizungumza na wananchi wa soko la sido Mwanjelwa jijini Mbeya, ataka watend...

Read more »

WANAWAKE WATATU WAZEE WAMEUAWA NA WANANCHI WAKITUHUMIWA KUROGA MVUA ISINYESHE MKOANI RUKWA.
WANAWAKE WATATU WAZEE WAMEUAWA NA WANANCHI WAKITUHUMIWA KUROGA MVUA ISINYESHE MKOANI RUKWA.

Habari na Mwandishi wetu. Wanawake watatu wazee wa kijiji cha Usevya, wilayani Mpanda wameuawa na wananchi wakituhumiwa kuroga mvua isinyesh...

Read more »

MKUTANO WA UJIRANI MWEMA
MKUTANO WA UJIRANI MWEMA

Kutoka kulia ni Mkuu wa wilaya ya Mbozi Bwana Gabriel Kimoro akiwa na Mkuu wa wilaya ya Nakonde nchi ya Zambia Bwana James Singoi  na vion...

Read more »

KUNG'OLEWA KWA BENDERA ZA CHADEMA TUNDUMA MKOANI MBEYA KWAZUA TAFLANI.
KUNG'OLEWA KWA BENDERA ZA CHADEMA TUNDUMA MKOANI MBEYA KWAZUA TAFLANI.

Habari na Ezekiel Kamanga, Tunduma. Vurugu   zilizotokea katika   mji wa Tunduma wilaya ya Mbozi mkoani Mbeya   kabla ya kuwasili Makamu wa ...

Read more »

EAST AFRICAN GOSPEL STAR ROSE MUHANDO SIGNS MULTI-RECORD DEAL WITH SONY MUSIC.
EAST AFRICAN GOSPEL STAR ROSE MUHANDO SIGNS MULTI-RECORD DEAL WITH SONY MUSIC.

EAST AFRICAN GOSPEL STAR ROSE MUHANDO SIGNS MULTI-RECORD DEAL WITH SONY MUSIC Global recording company Sony Music Entertainment is proud...

Read more »

TAARIFA ZA MAUAJI YA KUCHINJWA RAIA WASIO NA HATIA WILAYANI SONGEA-RUVUMA, FEBRUARI 2012.
TAARIFA ZA MAUAJI YA KUCHINJWA RAIA WASIO NA HATIA WILAYANI SONGEA-RUVUMA, FEBRUARI 2012.

Wilayani Songea yapata watu wanne(4) wamechinjwa kikatili kwa siku tofauti tofauti na watu wasiofahamika na kwa sababu zisizojulikana fua...

Read more »

MKUU WA MKOA WA MBEYA, ABBAS KANDORO AMEWATAKA WAKULIMA MKOANI HUMO KUANDAA VEMA MAZAO YAO KWA KUYASINDIKA.
MKUU WA MKOA WA MBEYA, ABBAS KANDORO AMEWATAKA WAKULIMA MKOANI HUMO KUANDAA VEMA MAZAO YAO KWA KUYASINDIKA.

Habari na Angelika Sulusi, Mbeya. Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro amewataka wakulima Mkoani humo kuandaa vema mazao yao kwa kuyasindi...

Read more »

KUFUATIA MAUAJI YA KUTISHA MKOANI RUVUMA WATETEZI WA HAKI ZA BINADAMU WALAANI VIKALI VITENDIO HIVYO NA KULITAKA JESHI LA POLISI KULINDA USALAMA WA RAIA.
KUFUATIA MAUAJI YA KUTISHA MKOANI RUVUMA WATETEZI WA HAKI ZA BINADAMU WALAANI VIKALI VITENDIO HIVYO NA KULITAKA JESHI LA POLISI KULINDA USALAMA WA RAIA.

By correspondent Rose Mwalongo AT LEAST two people were shot to death yesterday with dozens injured following a fracas between an...

Read more »
 
Top