Menu
 

Habari na Mwandishi wetu.
Wananchi mkoani Mbeya wametakiwa kushirikiana na kikundi cha MJATA kwaajili ya kupinga na kukemea upigaji nondo na mauahji kwa watoto wa dogo

Hayo yamesemwa na mwenyekiti wa MJATA mkoani mbeya Bwana Shayo Soja Masoko alipo kuwa akihutubia katika mkutano wa kupinga uvitendo vya  koikatili vinavyo jitokeza katika jamiii mbali mbali

Aidha Shayo ameongeza kuwa chama cha mjata  ni chombo kinacho tumika kusuluhisha migogoro  mbali mbali inayo jitokeza katika jamiii hivyo wananchi wanatakiwa kupinga masuala yote ya ukatili wa watoto wadogo wasio kuwa  na hatia.

Naye Aizaki Jaksoni kutoka katika ofisi ya mwana  shelia mkuu  mkoani mbeya amewataka wanawake kuaaacha tabia ya kutotupa   watoto  wao.

Post a Comment

 
Top