Menu
 


MADA:-Sababu zipi zinazopelekea Wazazi (Mume na Mke) kuwatelekeza watoto wao, kwa bibi zao au kwa ndugu yeyote, wakati mwingine kushindwa kuwapa haki zao za msingi za malezi na kutowajali kabisa watoto hao?.
 
-Jaylain Jlove Remtulla inatokana na migogoro baina ya wazazi au sometimes mjini hali ni ngumu kimaisha so bora wawapeleke kijijini.

-Zuhura Jeremiah wazazi wengine hutaka uhuru wa kufanya mambo yao hvo wanaona kama watoto wanawabana bora wawapeleke kwa bibi zao waish huko pasipo kujua kama wanawaharibu kimakuzi.

-Eey Daniel Tatizo kubwa ni tamaa za wazazi!tamaa pamoja na ubinafsi,haiwezekani mtu unampenda mtoto wako ukamwacha hata kidogo,hakuna cha sababu yeyote yakumwacha mtoto zaidi ya tamaa binafsi plus ubinafsi wa mzazi mwenyewe. Tamaa = ngono zembe zinazosababisha mimba zisizotarajiwa ubinafsi = roho ya kichoyo yakujiwazia pekee yako.

-George Myumbilwa Sababu kubwa ni wanaume/wanawake kutopenda watoto wa kambo hvo mke/mme anaamua kupeleka mtoto wake kwa bibi yake ili aweze kuishi kwa amani ndani ya nyumba.

-Tonny Amon dizain ugumu wa maisha na wa2 hukimbia majukumu cuz nadhan hakuna sheria inayobana.gonga bora uende ya maru.

-Ney Absalum Asa pesa huna, watoto unao dazani, unategemea nini kitafata myn, kama cyo kumpelekea bibi kijijini?.

-Yohana Shombe kaka me naona hali duni ya maisha ndiyo inasababisha pengine m2 ana familia kubwa uchumi mdogo ili kupunguza mzigo unaamua kuacha watoto kwa ndugu na yeye kutokomea kusiko julikana. kaka nipigie wimbo wa nabii walivyoyon ni tofat na sura kutoka wabish.com makongolosi.

-Abuu Msigwa Some time inasabishwa na ndoa za mapema, kulazmisha kuoa au kuolewa, kubakwa kwa wanawake na kupata mtoto acyetarajia so hii inapelekea homeless children mitaan.

-Efratechnology Efrachemical Hali ya wazaz kutojali jukumu lao wapo kw ajili ya kuwazalia wenzie mizigo,tatzo wamesahau kuwa kuzaa sio kazi kaz kulea mwana.wanadai mapenz hayachagui maskin wala tajir lakin umaskin ndyo kikwazo hasa upande wa malez km uwezo ha2na n vema 2sizae jaman.stamina kabwela achia kaka.am from ilemi kama kawa.ujanja kupanga uzaz co kuzaa hovyo hovyo.

-Beatrice Vedastuce Wanaume weng ndo chanzo 7b wanawatelekeza wake zao nakusababsha wake kushndwa kuwalea watoto na kuwapeleka kwa ndugu zao.

-Beatrice Vedastuce Mm ningemshaur acctize elimu kwanza kwa watoto wa kike,nadhan km mtoto wa kike akiwa na ajira hata mume akimtelekeza bado ataweza kumlea mwanae tofaut na tegemez.elm kwanza na kipaumbele cha ajira kwa wadada ndo solutioni

-Lawrence Benish Ki ukwl jambo hili limekuwa likinishanga sana 2kisema ni kutafta uhuru itakuwa ni uwongo mtupu kama walikuw wakihtaji uhuru bs wasinge zalishana wangeendlea kufnya starehe zao kw k2mia kinga wasiwapt hao watot lkn htokea 2 kumuonea bibi kwa 7bu ya kuwaona hawana kazi na kuwapelek watot zao huk lkn kama hao bib zao wangekuw na kazi sidhan kam wangefnya v2 kam hvyo.

-Mohamedy Mbogo hiyo upande mwingine inatokea sababu ya umasikini wetu na uvivu wa kulea coz kuna watoto wengine kwao kuna kila kitu wamepewa na wazazi bado wanapeleka watoto wa wao walelewe na babu na bibi yao inabidi tubadilike jamani ni hayo tu...

-Herman Victor Sametimes watoto wajeuri sana so huwapeleka kwa bibi wakafundishe adabu.

-Tonny Amon kweli cc wanaume ndo chanzo, binafsi mwanamke wangu aliamua kutoa ujauzito baada ya kugundua nko na mwingne then yeye simjari.so tubadirike.mmenimic ya cyril maalum kwa wadau wa bomba tell em am comming hom .songesha

-Yohana Shombe kaka greyson play wimbo wa nabii spcial for all leaders wenye ahadi pumba.

-Efratechnology Efrachemical Kwahiyo kama hatuwez kulea tusizaee.If time ikirusu gonga ki2 cha silali ya rich mavoko.

-Patrick L Ivan ni wazazi wenyewe huzaa bila mpangilio na kutojua hawo watoto wanaozaa je watapata mahitaji yao muhimu na pale wanaposhindwa ndipo huchukua mbinu mbadala na kuwatekeleza watoto hao.

Post a Comment

 
Top