Menu
 

MADA:-Kwanini Vijana wengi wanapenda kulelewa……. Mfano wasichana wengi wanapenda wanaume wenye pesa na Wanaume wanapenda kulelewa na Wanawake hata kama wana uwezo wa kupata pesa? Maoni yaliyosomwa  katika kipindi cha Bomba Special Show hapa Bomba FM Radio 104.0 MHz toka jijini Mbeya Tz stay tune Kuanzaia saa 4 mpaka saa 7 usiku..
 
David Amani K2 shilingi ndo inamata na hta wao wanawake hawampendi mwaume asiye nak2 hvyo ni ankara u know am say?

Nabwike B. Ngetelwa ugumu wa maisha... pls ucntaje jna hewani.


Sharo Gangastar Mi naona ni ulimbukeni 2 wa baadhi ya watu.... Na pia kuna wimbo wa kala jeremia unaitwa waambieni anasema .'mwanamke hawezi kukutoa labda jeans na mdosho wa supra'' hapa kuna ukweli ndani yake. Its me sharo gangstar aka sharo hiphop wa kwata unit. Tokea chuo chenye majengo ya kirusi. Mist mbeya.


Carlson Watson Lushakuzi Mi naona ni tamaa 2 kwa vijana we2 wa kibongo


Mwasila da Holly Maisha magumu,,kaka ukipata nafasi unaitumia,,,kulelewa kuna rahaa yake==
girlz wenyewe wapo after money xana==ni kawaida yao.
Major Philip ni wapumbavu hao mwanaume kuji2ma c uxubiri ulelewe na mwnamke. Shabani Jarufu Hii inazihirisha vijana wengi 2napenda mtelemko wa maisha yote hayo 2nayafanya kwaajili yakupata unafuu wamaisha ktk dunia ya leo maisha ya mekuwa magumu vijana wameona kulelewa ndio nafuu ya kuwa na maisha bora. Mwasila da Holly Pa1==inasemekana bro wake na baby==yumo kwenye list ya matajiri wa dunia so ni halali mchizi kuxema(born rich,,born hustlim)
pa1 majembe=Ney Absalum Pesa ndo kila kitu cku hz@g


Jonny Mathex Clintomy Hii yote ni kutokana na ugumu wa maisha kwa sasa.


Morisi Chonanga Yote hayo ni kwasababu mmoja kati yao anakua na maisha magumu ndio maana mfano kama ni mvulana atajitahidi kumpa jimama ma love ya ukweli ili asifukuzwe na jimama.


Emanuel Diamond Hii inatokana na vijana wengi awapendi kuji shughurisha na kazi ambayo inge mfanya ajipate pe zakujikimu kimaisha.kwani ni waviv kwahio hupena vya buke bila kuajibika.naomba nipigie wimbo wa Rich mavoko mbona sirali Naitwa emanuel diamond kutoka sae.
·         kaka habar za studio kiukwel hyo mada ni noumaa coz unakuwa kama unawasema wat vile. Lkn syo sir chanzo cha yote ni ulmbuken 2 unawasumbua coz mapenz ya kwel cyo kulelewa wala kulea
·         mada imesimama knouma bro lkn mm naona ni tamaa 2 bro naomba wmbo wa lala salama
·         kiukwel pesa ndo ina mata kakaAlex Lyimo Wanaume wengi wanapenda ubwete hawataki kuji2ma binafsi.Medko Mbogela Wakala wa wasafi kutoka kitundasi chunya. Uvivu una changia vijana wanapenda rakshari matanuzi wanafikiri wamepata kumbe wamepatikana watakaa sanaTonny Amon (usinitaje jina)dizain ni wavivu wakufikiri thats y hawataki ktjitafutia wamebaki kuwategemea watu.point ya msingi watu wajue kama hujitegemei na kumtegemea mtu huwezi kuheshimika.charaza mtoto wa mjini ya pigblack na hayakuwa mapenz ya sugu.Efratechnology Efrachemical Tatizo weng wanajfunza pombe ukubwan na wanadhan kulewa ni ujanja,maisha magumu nayo shida wanadhan pombe ndio msaada kwao kwa kulewa eti wanapoteza mawazo.Glady Mwakatuma ni ulimbukeni tu wa vijana wa kiume na wakike kutaka kuishi maisha ambayo hawana uwezo nayo.
Hamna Imma me kwa upande wangu naona cku hiz wanaume ndo wamegeuka wasichana maana wanapenda kulelewa kupita maelezo. Akishajua mdada umejpanga vzr kmaisha bac wanakutinga kila kona ilimrad tu wale pesa yako. Mfano mzur naweza nkasema kwa upande wangu. Mm co sir Mungu kanijalia kwa 24 nliyonayo nmebahatka kumalza degree yang ya kwanza, nna kaz yang Mungu kanijalia nmejenga kbanda chang na ka usafir ka kukujiziba na jua. Jaman nasumbuliwa na wanaume mpk kero! M1 ndo kantamkia kabisa ET ANANIPENDA KWA7BU NMeJIANDAA KIMAISHA.!! It means km ncngekuwa na maisha mazur acngenifuata kumbe kapenda pesa. TO BE HONEST WANAUME WANAPENDA KULELEWA KUPTA MAELEZO. G9t mby ct. Nmepamic hm. Pande za sae sema kaz tu znabana. Nisalimie my huz to b Onesmo pande za sae. T z me Gracious from moro. Japo ckuskii wang.


Hamisa Mahelo Mh me nahic ni ufinyu wa fikra, na kupenda njia mkato za kupata kipato, wengi huamin kwa kfanya ivo maisha yatawanyookea, vijana 2amke 2jishughulishe.


Mlay Fredy inategemea na w2 kaka mana hat huku nzega wanawake walev ni weng xana unakuta mwanamke yupo baa tangu asubuh mpaka jua chwee wengne wana familia lakin unak3 wanaume zao hawasemi jamni dunia imekwishaaaa. Beatrice Vedastuce Tatzo wanawake/wanaume 2napenda maendeleo ya haraka kwa mda mfup,ndo hapo unajkuta unakimbilia kwa mwy hela il apate v2 kimteremko.tatzo tama.Efratechnology Efrachemical Kwa mwanaume kulelewa nikukosa kujitambua,mwingne anajisifu eti demu wangu ananitoa hyo kw mwanaume n ujinga.bamiza peke yangu ya adili.Hamisa Mahelo izo ndo side effect zake, kupata magonjwa na kufeli kimaisha, tamaa za magari, kwenda na wkt cm kali, kueka heshma bar, kujifanya kijana wa mujini ndo vina2ponza, me naamini 2kijibidisha 2naweza ishi bila vibabu wala masugar mamie.Miriam Mvula Hiyo yt ni upeo mfp wa kufkr wnafny hvy ili mlad 2 wajipatia pesa kirais>hawajui njia hy wanayo 2mia inaweza kuhatarish maisha yao. Kwa kuambukzwa HIV/AIDS lkn wao hawlion hl,hvy ndvy wameamua wawz kujkimu kimaisha wkt wnawez ku2mia njia nzuri ya kujpatia pes@kwa kuwa ubongo wao hp ndo uwez wa kufkir wanahamua kufnya hvy.LAKINI Kwa ushaur 2 waach hy tbia na sio njia nzur ya maisha.Aunt Rachel Malekano ulimbukeni tu unatusumbua na kuiga maisha ya watu walio juu ya uwezo wetu na hiyo ndio hali halisi but sio issue.

******Asante sana kwa kuitegea sikio Bomba FM......

Post a Comment

 
Top