Menu
 
Mh waziri Ngelela akifanya mahojiano maalum na Baraka Baraka Kutoka Urban Pulse.
 
Mh. William Ngeleja katika picha ya Pamoja (Kushoto) Frank (Kulia) Baraka baada ya kufanya mahojiano.
 ******
Urban Pulse Creative Inapenda kuwalatea Mahojiano maalum kutoka kwa  waziri wetu wa nishati na madini mh William Mgaga Ngeleja wakati alipofanya ziara fupi jijini London.
 
 Hii ilikuwa ni fursa pekee ya kuweza kupata majibu sahihi na kujifunza kwa undani zaidi kutoka kwa waziri mwenye dhamana namna ambavyo changamoto mbalimbali zinazozikabili Taifa letu pamoja na wizara ya nishati na madini, vilevile  mipango madhubuti ya serikali katika kutoa ufumbuzi endelevu kwa ajili ya kutatua sakata sugu la Umeme nchini Tanzania.

Mahojiano haya yalifanywa na Baraka Baraka kutoka Urban Pulse na yatarushwa  rasmi kutoka katika kituo cha STAR TV jumapili hii tarehe 4 Machi 2012 katika kipindi cha Medani za Siasa na Uchumi  kuanzia 10.30-11.30. Usikose Kuangalia.

Post a Comment

 
Top