Menu
 

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari ,Vijana,Utamaduni na Michezo Mama Sihaba Nkinga akiwahutubia washiriki wa Mkutano wa Tathimini ya mbio za Mwenge wa Uhuru na wiki ya Vijana katika Ukumbi wa Edeme Mkoani Morogoro,na wa kwanza kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Vijana Bw.James Kajugusi na wa pili kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ustawi wa Jamii na Maendeleo ya Vijana,na Wanawake Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.,na wa kwanza kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi wa Vijana Dkt. Kissui Steven Kissui
Washiriki wa Mkutano wa tathimini ya mbio za Mwenge wa Uhuru na wiki ya Vijana katika Ukumbi wa Edeme Mkoani Morogoro .
Washiriki wa Mkutano wa tathimini ya mbio za Mwenge wa Uhuru na wiki ya Vijana katika Ukumbi wa Edeme Mkoani Morogoro .
Naibu Katibu Mkuu Wa Wizara ya Habari ,Vijana ,Utamaduni na Michezo Mama Sihaba Nkinga ( katikati )akiwa kwenye picha ya pamoja na washiriki wa Kitaifa kwenye ufunguzi wa Mkutano wa Tathimini ya Mbio za Mwenge wa Uhuru na wiki ya Vijana katika Ukumbi wa Edeme Mkoani Morogoro jana .Picha na Anna Itenda -Maelezo.

Post a Comment

 
Top