Menu
 


Mualiko wa Maulidi ya DMV Jumuiya ya Tanzanian Muslim Community Washington DC (TAMCO) inapenda kutoa mualiko huu kwa Watanzania wote wa DMV kwenye maulidi ya mfungo sita yatakayosomwa siku ya Jumamosi Feb 25, 2012 mida ya saa 5:PM Jioni,  Adress
Park: 10615 New Hampshire Avenue, Silver Spring, MD 20903 
Tarehe na siku ile ile Jumamosi Feb 25, 2012 mida ya saa 5:PM Shkran .. (Kwa habari zaidi tembelea hapa Swahilivilla Blog.)

Post a Comment

 
Top