Menu
 Tunapenda kutoa taarifa hii kwa Watanzania  wote wanaoishi Nchini Canada Toronto,  ya kwamba Madrasatul Al-Amin inafuraha kuwaalika ndugu jamaa pamoja na marafiki wote  katika Maulid ya Mfungo Sita ya Mtume Muhammad. (S.A W) Yatakayosomwa Feb18 2012  mida ya saa 2:30 PM. Adress ni 

LAWRENCE HEIGHTS COMMNITY CENTRE REPLIN RD 
TORONTO ONTARIO M6A-2M8
PHONE NUMBER 416 395 6118

Kutakuwa na Maulidi pamoja na kuonyesha kile wanachokipata wanafunzi kwa Walimu wao kwa upande wa masomo. Maulidi yataongonzwa na Ustadhi  Abdullah Abubakar Mtawa pamoja na wanafunzi wa Madrasatul Al-Amin ya Toronto.

Kuhudhuria kwenu ndio mafanikio yetu kwa maelezo zaidi waweza kupiga simu namba: 647 994 3028 au 647 774 1133 . Ni matumaini yetu tuta jumuika pamoja katika kusherehekea maulidi ya Mtume wetu Muhammad (S.A.W).
********

Post a Comment

 
Top