Menu
 

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Bw. Erastus Mwencha, Naibu Katibu Mkuu wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika. Katikati ni Kamishna wa Maendeleo ya vijijini na Kilimo wa Kamisheni hiyo, Bi Rhoda Tumusiime waliomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo January 16, 2012. Viongozi hawa wako nchini kuhudhuria Mkutano wa Mawaziri wa Kilimo toka nchi Saba za Afrika unaofunguliwa kesho (January 17, 2012) Kilimanjaro Hyatt hotel jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Bw. Erastus Mwencha, Naibu Katibu Mkuu wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika. Katikati ni Kamishna wa Maendeleo ya vijijini na Kilimo wa Kamisheni hiyo, Bi Rhoda Tumusiime waliomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo January 16, 2012. Viongozi hawa wako nchini kuhudhuria Mkutano wa Mawaziri wa Kilimo toka nchi Saba za Afrika unaofunguliwa kesho (January 17, 2012) Kilimanjaro Hyatt hotel jijini Dar es salaam.
PICHA NA IKULU

Post a Comment

 
Top