Menu
 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,(NEC) Jaji Damian Lubuva,akiogoza ujumbe wa Tume hiyo walipofika Ikuku Mjinin Zanzibar jana kuonana na Rais, (katikati) Jaji Mkuu Mstaafu wa Zanzibar,pia Makamo Mwenyekiti wa Tume hiyo Hamid Mahamoud Hamid.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akizungumza Ujumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,(NEC)ukiongozwa na Jaji Damian Lubuva,(wa nne kushoto),walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo. Picha na Ramadhan Othman IKulu.

Post a Comment

 
Top